HahahahaMwenye mafiga matatu
Naona mnavyokasahau katoto ka mwisho jamani, mtoto wq mwisho huwa anapendwa lakini nashangaa ninyi mpo tofauti kabisa.
Kuna haja ya kufungua shauri kwenye mahakama ya watoto juu ya hili jambo.



Yaliyopita hayafurahishi. Upo tayari?Sasa mimi nimepanda gari njiani hamna budi kunipa samari ya kilichotokea wakati tunaendelea na safari
Sawa nimewasamehe nilijua tu hata kama ningewafungulia shauri hizo pesa za fidia ambazo mngenilipa mngekuja kuninyang'anya nyumbani...pole mdogo wangu hatuwezi kukusahau tena tusamehe
Hata historia ya Ukoloni nayo ilikuwa haifurahisi ila tulifundishwa na kuhadithiwa
Yaliyopita hayafurahishi. Upo tayari?
hahah pole mdogo wangu dad hajar ndo angekupokonyaSawa nimewasamehe nilijua tu hata kama ningewafungulia shauri hizo pesa za fidia ambazo mngenilipa mngekuja kuninyang'anya nyumbani...

anapika nyumban
Basi tumsubiri aivishe kwanza asije akaunguze bure...anapika nyumban
Hahaaaa. Davet huyo ndio alikuhitaji.nimekuja dada kunanii
Mi sijambo mkuuNakusalimu bibie!
kaja umemuona dadioBasi tumsubiri aivishe kwanza asije akaunguze bure...
kaja umemuona dadioBasi tumsubiri aivishe kwanza asije akaunguze bure...
Davet njoo unambie basiHahaaaa. Davet huyo ndio alikuhitaji.
Sasa mimi nimepanda gari njiani hamna budi kunipa samari ya kilichotokea wakati tunaendelea na safari

Nashukuru kusikia ivyo mkuuMi sijambo mkuu
Nimemuona..kaja umemuona dadio
Hahahaa. Inabidi atusamehe tu kwa leo. Hatasahaulika tena.ngoja nimuelekeze udugu wetu ulivyo wa kwanza dada etu hajar wa pili mie ukhuty wa tatu Davet wa nne mwifwa pole mdogo wangu umesahulika tu hiyo ndo family yetu rasmi sas cc Hajar
Upo mdogo wangu?kaja umemuona dadio