Ndiyo, anaweza kuwa anafanya kwa siri kumbe mwenzie anajua kila kituLkn mwisho wa sku yy ndo
Anabak kuwa mjanja
kumbe unajua, aibu hiyomnapasuna kichwa tu kama vipi..ila kitaa kinakubali kua unamiliki chombo hahahaHahahaaa. Sio kweli bwana Mshenga. Hao ni wazuri kwenye macho tu na walio wengi ni pasua kichwa pia. Teh
Kweli mamiiiMie naona mwanamke mzuri ni yule anayejitambua, kujitambua nikimaanisha kuwa na uwezo wa kutofautisha mambo pia kuwa na maamuzi yeye kama yeye na sio yule mfuata mkumbo.
Hahahaaa. Sio kweli bwana Mshenga. Hao ni wazuri kwenye macho tu na walio wengi ni pasua kichwa pia. Teh[/QUOTHahahahahh.
ahah
Kweli kabisa mwali wangu.
Naimani we haupo Kati ya hao pasua kichwa
Mwishowe watoto wakizaliwa sura tabia tofautiTatizo upande mmoja ni mziki Wa makirikiri na mwngne blues![]()

Mie naona mwanamke mzuri ni yule anayejitambua, kujitambua nikimaanisha kuwa na uwezo wa kutofautisha mambo pia kuwa na maamuzi yeye kama yeye na sio yule mfuata mkumbo.
Kinyaa cha kawaida kbs cha kibinadamu kile, kuna siku nimekaa siti moja kwenye daladala na mama kabandika mikucha ile bandia kwa ndani kumejaa uchafu hadi nikahama siti aseee[/QUOTE
Hahahahh.
aha
Alafu wanajikutaga eti ndo warembo kuliko wengine.
Wanakera aiseee
Pia anaweza kuwa na sifa zote hizo lakini huyo mwenza akawa pasua kichwa kuna tabia nyingine hufundishwa na huyo uliye nayeMie naona mwanamke mzuri ni yule anayejitambua, kujitambua nikimaanisha kuwa na uwezo wa kutofautisha mambo pia kuwa na maamuzi yeye kama yeye na sio yule mfuata mkumbo.
Hahahaa. Zile gharama za hayo mambo na pia ikitokea huna hizo gharama basi jihesabie sio wako tena yaani lazima atafute jimbo lenye kuweza kutoa huduma ya kila ambacho kitakosekana.mnapasuna kichwa tu kama vipi..ila kitaa kinakubali kua unamiliki chombo hahaha
Kweli kabisa ndio inavyokuwa siku zote. Haiwezekani watu wakakutana wanaofanana kila kitu.Pia anaweza kuwa na sifa zote hizo lakini huyo mwenza akawa pasua kichwa kuna tabia nyingine hufundishwa na huyo uliye naye
Hahahahahhaha.Hahahaaa. Jamaani Mshenga![]()
![]()
Sijambo kabisaaMama saby hujambo?
Hahahaa. Na wewe hupendi hizo mambo kumbe?Kinyaa cha kawaida kbs cha kibinadamu kile, kuna siku nimekaa siti moja kwenye daladala na mama kabandika mikucha ile bandia kwa ndani kumejaa uchafu hadi nikahama siti aseee
Ooh. Hapo sawa rafiki.Hahahahahhaha.
Nahisi umenielewa vibaya.
Nakukubali kwa mawazo na fikra zako kuntu.

Hapo Mungu ndipo hutumia nguvu za ziada maana akikutanisha wote wazinzi au walevi, wagomvi haitajengwa familia nzuri lazima awepo mmoja mwenye busara ili ambebea ujinga wake wakeKweli kabisa ndio inavyokuwa siku zote. Haiwezekani watu wakakutana wanaofanana kila kitu.
Kwakweli hapana aiseee, kwanza zinanikata kbs stimu hata mzuka wote unalala mbele aaaarrrgh. Ukute mtu natural baana , msafiiiiiii na ana nukia ile harufu ya binadamu kama waijua- hapo mambo yanakuwa safi sanaHahahaa. Na wewe hupendi hizo mambo kumbe?
Ooh. Hapo sawa rafiki.
![]()
![]()
![]()