Wamekua omba ombaAsimfanye mumewe chanzo cha vikoba kila muda naomba pesa nikafanye kitu kumbe anaenda kupiga umbea
Haaa kurudi lini?Niko na Red Label hapa. Halafu nikalale kesho niwahi mkoani.
Hata kupata mme bora nayo ni issue msione ke wapo kimya ni roho za uvumilivu tu hizoKupata wife material naona ni shughuli pevu. [emoji23]
Kwa hyo kumbe tunavizianaHata kupata mme bora nayo ni issue msione ke wapo kimya ni roho za uvumilivu tu hizo
Yaani ni kama hivyo na busara isipo tumika unakuwa mchanyantoKwa hyo kumbe tunaviziana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Una maana ni ngoma drawHata kupata mme bora nayo ni issue msione ke wapo kimya ni roho za uvumilivu tu hizo
Kila Kona inavumilia yakeHata kupata mme bora nayo ni issue msione ke wapo kimya ni roho za uvumilivu tu hizo
Ngoma droo hakuna kulalamika la ukiwa unalalamika lakin unasutwa na dhamira (wewe uyafayo je)[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] Una maana ni ngoma draw
Kila kona na mziki wakeKila Kona inavumilia yake
Kupoozana ndo mmoja anataftaKila kona na mziki wake
Mpaka 1 ajifanye mjingaKupoozana ndo mmoja anatafta
Lkn mwisho wa sku yy ndoMpaka 1 ajifanye mjinga
Kinyaa cha kawaida kbs cha kibinadamu kile, kuna siku nimekaa siti moja kwenye daladala na mama kabandika mikucha ile bandia kwa ndani kumejaa uchafu hadi nikahama siti aseeeNgoja nikwambiee
Mwanamke mzuri n mwenye sifa zifuatazo
•mvaa mawigi
°mchora kucha
°muweka kope za bandia
°mpiga selfie hata akiwa chooon
°mpenda starehe kuliko maendeleo
°mpiga umbea saluni
°kujichubua awe Kama lady gaga
°mpenda sifa...
Nyingine ongezea mwenyew
Tatizo upande mmoja ni mziki Wa makirikiri na mwngne blues[emoji6]Kila kona na mziki wake
Hahahaaa. Sio kweli bwana Mshenga. Hao ni wazuri kwenye macho tu na walio wengi ni pasua kichwa pia. TehNgoja nikwambiee
Mwanamke mzuri n mwenye sifa zifuatazo
•mvaa mawigi
°mchora kucha
°muweka kope za bandia
°mpiga selfie hata akiwa chooon
°mpenda starehe kuliko maendeleo
°mpiga umbea saluni
°kujichubua awe Kama lady gaga
°mpenda sifa...
Nyingine ongezea mwenyew
Mama saby hujambo?Mimi huyo[emoji23][emoji23][emoji23] basi kuna watu watasonya