usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,097
Kabsa aiseee ukiwa naHongera zao aisee
Wife kama huyo na ww
Uwe naelewa unafanya nn
Kwa wakt gan na wakat ujao
Hakika maisha yenu yatakua na
Aman sana
Kabsa aiseee ukiwa naHongera zao aisee
Sana sanaKabsa aiseee ukiwa na
Wife kama huyo na ww
Uwe naelewa unafanya nn
Kwa wakt gan na wakat ujao
Hakika maisha yenu yatakua na
Aman sana
Shda Sasa haya mamboSana sana
Huwezi kupata mwenye sifa zote hapo,Mungu anakusudi sanaHata dunia ibadilike vipi na mambo yabadilike vipi lakini mwanamke mzuri ni mwenye sifa hizi
Mwanamke mzuri ni yule
1. anayejiheshimu mtaani,
2. Hodari jikoni
3.malaya kitandani.......
Mahitaj yanatimiziwa na yyMwanamke mzuri ni yule unamtimizia mahitaji yote sio kutaka sifa wakati huo huo humtimizii mahitaji yake
Hahaha umelala my jj?Kumekucha
The good thing is sijawahi kuwa na imani kabisa narudia kabisa na wanawake isipokiwa mama yangu tu hawa wengine naishi nao kwa mazoea baasi. Don't expect anything big from these creaturesMapenzi mapenzi mapenzi hayana jibu sahihi ni wewe unavyoona
Wapo wema tu mkuu....The good thing is sijawahi kuwa na imani kabisa narudia kabisa na wanawake isipokiwa mama yangu tu hawa wengine naishi nao kwa mazoea baasi. Don't expect anything big from these creatures
Mwenye hizo mbili hapo juu,ya tatu inampiga chengaHuwezi kupata mwenye sifa zote hapo,Mungu anakusudi sana
Huyo kataja matatu, sawa anajiheshimu, jikoni huachi matumizi yakutosha au yasioeleweka napika nini kizuri, malaya kitandani hivi hapo analaumiwa vipi mke ingali ni ushirikiano, men mvivu hapo mke atakuwaje nanilihii wengi wala viepe hakuna kitu kuna dada alikuwa analalamika akimwambia round 1 tu jamani hatuongezi jibu lake unataka kuniua?Mahitaj yanatimiziwa na yy
Akiwa anajitambua
Yan ile wanasema Ukishikwa
Shikamana

Huyo kataja matatu, sawa anajiheshimu, jikoni huachi matumizi yakutosha au yasioeleweka napika nini kizuri, malaya kitandani hivi hapo analaumiwa vipi mke ingali ni ushirikiano, men mvivu hapo mke atakuwaje nanilihii wengi wala viepe hakuna kitu kuna dada alikuwa analalamika akimwambia round 1 tu jamani hatuongezi jibu lake unataka kuniua?![]()
![]()
![]()
![]()
HahahahaHuyo kataja matatu, sawa anajiheshimu, jikoni huachi matumizi yakutosha au yasioeleweka napika nini kizuri, malaya kitandani hivi hapo analaumiwa vipi mke ingali ni ushirikiano, men mvivu hapo mke atakuwaje nanilihii wengi wala viepe hakuna kitu kuna dada alikuwa analalamika akimwambia round 1 tu jamani hatuongezi jibu lake unataka kuniua?![]()
![]()
![]()
![]()
TaratibuHahahaha
Nmebakisha kwa ajili yakoUsicheke sana bakishia kidogo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yule anayejua kinidekea kwa sauti ya kubana pua mpaka nikahonga kila kitu nilicho nacho mifukoni....