Hizi ndizo sifa za mwanamke mzuri

Hizi ndizo sifa za mwanamke mzuri

Si kweli kwani wengi wao ni waigizaji wa bongo muvi na tunawajuwa wanawake wa bongo muvi si vigezo wa kuwa na mke bora kwani wale ni wasanii tu. Unataka kutuambia Wema Sepetu anaweza kuwa mke bora kweli? This will never happen, huwezi kumgeuza changu kuwa mke hata siku moja.
Tunazungumzia mwanamke mzuri mkuu.

Hatuzungumzii mke bora...
 
Mwanamke mzuri ni:
1.mnyenyekevu
2.mtiifu
3.mwaminifu
4.mvumilivu
5.mwenye kiasi
6.hodari
7.mwenye hofu ya Mungu
 
Mwanamke mzuri ni:
1.mnyenyekevu
2.mtiifu
3.mwaminifu
4.mvumilivu
5.mwenye kiasi
6.hodari
7.mwenye hofu ya Mungu
Nakuapia wa hivyo hajawahi zaliwa kabisa hasa1-4 katika hii dunia. Ukitarajia hivyo utangoja mpaka mvi aisee
 
Back
Top Bottom