hao walioinamishwa waweza kuta hata uji wa chumvi
hawajapiga na utakuta kosa ni kuchelewa kutia yimu school
af shule ipo kimara tu posta kati kuna simba chui
na dogo kaamkia shamba lol
hao walioinamishwa waweza kuta hata uji wa chumvi
hawajapiga na utakuta kosa ni kuchelewa kutia timu school
af shule ipo umbali wa kimara to post, katikati kuna simba chui
na dogo kaamkia shamba lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi shule ambazo zimetuzalishia viongozi na wazazi tulionao leo, zilikuwa vipi ktk adhabu?. Hawakuchapwa?, hawakupewa adhabu?, na kama walipewa zilikuwa za mtindo upi?.