Hizi ndio Swagga za Injinia wa Umeme anapooa

Hizi ndio Swagga za Injinia wa Umeme anapooa

Ha ha hakuna namna. Unamchukua mshkaji mmoja aliyezima mnatwanga selfie moja matata. Lazima mwanamke awe jasili[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanawake wenyewe ndo hawa wanaokula kuku tahira?? Huo ujasiri utatoka wapi?
 
Na vip kuhusu mabar maid
nao cku za harusi zao huwa wanazunguka zunguka baani au?
 
nzuriii hyo,kama ukiwa unafanya kazi laboratory unaenda uko na mkeee akanywee machemicalssss
Huo ni ujinga. Hakuna creativity yoyote hapo..
Na pia wana risk. Hiyo sio sehem ya kwenda kuuza sura. Huyo bwana afukuzwe kazi haraka
Bonge la creativity issue ni kuwa unique na amejitahidi ni tofauti na Mazoea ya wengi, beach, hotel kubwa kubwa au sehemu maarufu
 
Kama je mtu anafanya kazi mgodini ndio ampeleke mwenza huko??

Kama ni mfanyakazi wa motuary je

Kama ni mfanyakazi wa jeshi la polise kitengo cha trafiki mtaenda wote ubungo kusimamisha magari mkipiga picha????

Nonsense nonsense
 
Ndio maana hapa Arusha baadhi ya maeneo kulikua unakata na kurudi kana kwamba kuna mtu anafanya mchezo na switch hii mambo sio ya kuchezea mtaunguza vifaaa vyetu .ila kwa ule utafiti Wa 4:1 najikuta tu najua mpole hamna jinsi
 
Sasa kwa wale wafanyao kule kunakohifadhiwa wale walio rest in peace??? Daaaah
 
Back
Top Bottom