Hivi kwa bahati mbaya ikatokea valve imefyatuka ikatokea mlopuko huyo bi harusi si atakufa!!Hizi ni swaga za Injinia wa umeme anapokuwa ameoa.Badala ya kwenda Mlimani City,Au ule msitu wa Chuo Kikuu au EPZ ya External kupanda mlima,mnaenda kwenye Mitambo ya Songas na Symbion
Wife lazima ajue uweledi wa mumeweView attachment 430076View attachment 430077
Lakini mtoa maada hajataja kabilaNi walile kabila wa Cha...
Ndio hajataja ila kwa tabia za hiyo ndoa naweza jua ni kabila gani! Ni mtazamo tuLakini mtoa maada hajataja kabila
na mimi mzibua choo?nzuriii hyo,kama ukiwa unafanya kazi laboratory unaenda uko na mkeee akanywee machemicalssss
[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji23] nadhani utakuwa na experience ya vyoo vikari town. Unampleleka kimoja wapo mnaenda kulelax[emoji124]na mimi mzibua choo?