Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 33,884
- 54,128
😂😂😂😂Ustaadh kichwa yako siyo njema!Ukinywa Pombe vizuri mpaka ukajinyea huoni kama Starehe hizo huwa zinaendana.
😂😂😂😂Ustaadh kichwa yako siyo njema!Ukinywa Pombe vizuri mpaka ukajinyea huoni kama Starehe hizo huwa zinaendana.
Kila jambo na kipimo chake!Ukinywa Pombe vizuri mpaka ukajinyea huoni kama Starehe hizo huwa zinaendana.
Walevi na wazinifu utawajua tu huwa hawajifichi!!!!!!
Ila ukiamua kustarehe Starehe Chief!Kila jambo na kipimo chake!
Hakuna starehe Kama kunya mkuu, hizo ulizotaja hapo ni matatizo matupu
Suala la wanawake sio starehe liweke kwenye involuntary action,Maana ya Starehe ni vitu vya kukuflahisha ambavyo sio vya lazima.
Kunya ni wanaita voluntary yaani mambo ambayo umepangiwa na muumba wako kama kulala usingizi au kufa.
Starehe ni involuntary yaani ni maamuzi yako kufanya au kuacha. Mtoa mada yuko sahihi starehe ni
1. Pombe
2. Mahusiano ya mwamke au mwanamme.
Mambo ya Kula, Kulala,Kuoga, Kupumzika, Kujamba, Kunya ni ya tabia za viumbe hai. Sio Starehe. Sekondari waliitaga characteristics of living organisms.
Sio kweli. Mwanaume kamili na alie kamilika hajifichi kwenye chaka la ulevi wala pombeWakuu katika dunia hii, ukiwa na pesa kuna starehe kubwa mbili ambazo mwanaume kamili huwezi kwepa kujihusisha nazo eidha zote mbili kwa pamoja ama uchugue moja
Starehe hizi ni
1. POMBE
2. WANAWAKE
Nawasilisha
DuuhHakuna starehe Kama kunya mkuu, hizo ulizotaja hapo ni matatizo matupu
Asanteeeeeee
Kwakweli
Ukishajinyea hakuna starehe tena badala yake ni aibu na kupata kazi ya kujisafisha.Ukinywa Pombe vizuri mpaka ukajinyea huoni kama Starehe hizo huwa zinaendana.
Kama sisi ambao hupendelea kunywea karibu na Swimming pool ukihisi starehe zimefululiza unadive hapo vipi?🤨Ukishajinyea hakuna starehe tena badala yake ni aibu na kupata kazi ya kujisafisha.
Starehe ni ile unasikia haja unaenda mwenyewe halafu choo ambacho upo comfortable nacho.