Hizi ndio starehe mbili kubwa duniani kote kwa mwanaume

TIASSA

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
2,756
2,000
starehe kubwa mambo yakuendee vizuri, tena kwa mwendelezo
siyo kukwama kwama pombe na wanawake ni kupunguza maumivu tu baada ya mambo kukwama
 

Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,294
2,000
Maana ya Starehe ni vitu vya kukuflahisha ambavyo sio vya lazima.

Kunya ni wanaita voluntary yaani mambo ambayo umepangiwa na muumba wako kama kulala usingizi au kufa.
Starehe ni involuntary yaani ni maamuzi yako kufanya au kuacha. Mtoa mada yuko sahihi starehe ni
1. Pombe
2. Mahusiano ya mwamke au mwanamme.

Mambo ya Kula, Kulala,Kuoga, Kupumzika, Kujamba, Kunya ni ya tabia za viumbe hai. Sio Starehe. Sekondari waliitaga characteristics of living organisms.
Suala la wanawake sio starehe liweke kwenye involuntary action,
 

formula2

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
729
1,000
Naunga mkono hoja ,tena hapa ngoja nitafute kianzio mchana mchana huyo kwa Mama Kagoma kaleta wahudumu wanaweusi wa kung'aa Kama kumbikumbi na matako mengiii mnoo.
 

Holy Man

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
2,231
2,000
Wakuu katika dunia hii, ukiwa na pesa kuna starehe kubwa mbili ambazo mwanaume kamili huwezi kwepa kujihusisha nazo eidha zote mbili kwa pamoja ama uchugue moja

Starehe hizi ni
1. POMBE
2. WANAWAKE

Nawasilisha
Sio kweli. Mwanaume kamili na alie kamilika hajifichi kwenye chaka la ulevi wala pombe
 

Super AMOLED

Senior Member
Jan 18, 2020
153
250
Unawakosea sana wanaomiliki aifoni(iPhone) na wenye ist, huwa wanajikuta wapo kwenye starehe, hivyo ningeomba wakumbukwe kwenye orodha.
 

Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
24,649
2,000
Ukinywa Pombe vizuri mpaka ukajinyea huoni kama Starehe hizo huwa zinaendana.
Ukishajinyea hakuna starehe tena badala yake ni aibu na kupata kazi ya kujisafisha.
Starehe ni ile unasikia haja unaenda mwenyewe halafu choo ambacho upo comfortable nacho.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom