Hizi ndio starehe mbili kubwa duniani kote kwa mwanaume

Hakuna starehe Kama kunya mkuu, hizo ulizotaja hapo ni matatizo matupu
Maana ya Starehe ni vitu vya kukuflahisha ambavyo sio vya lazima.

Kunya ni wanaita involuntary yaani mambo ambayo umepangiwa na muumba wako kama kulala usingizi au kufa.
Starehe ni voluntary yaani ni maamuzi yako kufanya au kuacha. Mtoa mada yuko sahihi starehe ni
1. Pombe
2. Mahusiano ya mwamke au mwanamme.

Mambo ya Kula, Kulala,Kuoga, Kupumzika, Kujamba, Kunya ni ya tabia za viumbe hai. Sio Starehe. Sekondari waliitaga characteristics of living organisms.
 
Maana ya Starehe ni vitu vya kukuflahisha ambavyo sio vya lazima.

Kunya ni wanaita voluntary yaani mambo ambayo umepangiwa na muumba wako kama kulala usingizi au kufa.
Starehe ni involuntary yaani ni maamuzi yako kufanya au kuacha. Mtoa mada yuko sahihi starehe ni
1. Pombe
2. Mahusiano ya mwamke au mwanamme.

Mambo ya Kula, Kulala,Kuoga, Kupumzika, Kujamba, Kunya ni ya tabia za viumbe hai. Sio Starehe. Sekondari waliitaga characteristics of living organisms.
Umeeleza vema.Lakini sisi wataalamu wa "kinyachusa" tunaomba utumie au urekebishe hapo kwenye matumizi ya "voluntary na involuntary" mkuu!😂😂😂
 
Wakuu katika dunia hii, ukiwa na pesa kuna starehe kubwa mbili ambazo mwanaume kamili huwezi kwepa kujihusisha nazo eidha zote mbili kwa pamoja ama uchugue moja

Starehe hizi ni
1. POMBE
2. WANAWAKE

Nawasilisha
Napenda wanawake wenyewe matako manene na miguu ya bia kiuno nyigu
 
Back
Top Bottom