Hizi ndio starehe mbili kubwa duniani kote kwa mwanaume

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,349
2,000
Yani pale unapomfikisha demu kileleni ile sauti na makelele anayotoa huku ukimuangalia usoni. Yani hapo ndipo ukamilifu wa uumbaji unajidhiirisha wazi wazi. Acheni sirgodi aitwe sirgodi mbunye is a state of the art.

A MASTER PIECE FROM THE MASTER HIMSELF!
 

Internal

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
3,501
2,000
Ili upate demu mkala au pombe ya kiwango uwe na Pesa.

Pesa, Pesa. ,pesa.
 

Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
24,649
2,000
Kwani wewe ni mwanaume? Nilivyoelewa ni kuwa mleta mada anaongelea starehe kubwa za wanaume, na sio starehe kubwa kwa wanaume na wanawake.
Unaongea Kama vile umeshawahi ishuhudia jinsia yangu. Mimi ni mwanaume
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
114,397
2,000
Kuhusu WANAWAKE inategemea NTU na NTU na uthibitisho wa hilo tunaliona humu. ME wengi wakilia lia.
Wakuu katika dunia hii, ukiwa na pesa kuna starehe kubwa mbili ambazo mwanaume kamili huwezi kwepa kujihusisha nazo eidha zote mbili kwa pamoja ama uchugue moja

Starehe hizi ni
1. POMBE
2. WANAWAKE

Nawasilisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom