Katika kuangalia zangu series hiz ndio series zangu kali za mda wote
1.innocent defendent
Hii ndio kwangu series yangu Bora kuliko zote hi ni ya kikorea ya town inamchanganyiko wa matumizi ya akili nyingi, Ina ngumi, kisa kizuri, matukio yenye kuvutia na pia ni unpredictable
2.into the Badlands
3.Last
Hii ni ya kikorea ya town inamuhusu mhasibu mmoja alikuwa na maisha mazuri baadae akawa masikini ikabidi aishi maisha ambayo hajayazoea alikuwa na demu mzuri kabla baada ya kuwa masikini demu akamtosa ikabidi awe ombaomba kwenye hiyo sehemu inaitwa soul station ambapo ili uwe na mamlaka japo kidogo unatakiwa wasimamizi wenye rank 1 mpaka 7 Kama mkimpiga mmoja wapo unachukua position yake ya kimamlaka ya kuwaongoza hao ombaomba na pia unapata unafuu wa maisha tofauti na hapo unakuwa mtu wakutumikishwa na hao wenye hizo number.je muhasibu ataface vip hizo challenges?
4.Banshee
Hii inahusu mwizi mmoja anachua position ya polisi fulani nakujifanya ndo yeye wakati mafunzo ya polisi Hana kudili na waharifu wakorofi.je njia zip anatumia ili asijulikane na challenge zipi atakutana nazo?
5.The empress ki
Hii ni ya kikorea lakini ya villages kitu ambacho kimenivutia kwenye hii series inagusa maisha tunayoishi Mambo yanayofundisha ni pamoja na tamaa, unapofanikiwa sana ndipo unazidisha maadui,si kila Jambo lazima utumie nguvu kutatua sometime unatakiwa utumie akili kumshinda adui yako through his weakness.
NB: ukizifuatilia hiz series utajuta kutumi bando lako ni nzuri mno.