Hizi ndio series zangu kali

Hizi ndio series zangu kali

Mi nataka muandikapo hizo season muwe mnatofautisha ni za vijijin au za mjini. Mi za mjini napenda sana kuliko za vijijini
Hhhaaaa hata mi sipendi za vijijini
 
Bado hujacheki series mkuuu!!!!Tena umemix na za kikorea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kkkaaaaaaa
Kweli huyu bado ni mgeni kwenye mambo ya series na moviez
 
Kuna anaeijua SECRET MISSION (056) YA wachina??

Hii kwangu ndo the top
 
Back
Top Bottom