Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.
Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
Soma vIzuri alichoandika sio unakurupuka.Hii comment yako is a real definition ya mtu negative and inferior..... Kwani precision air yaendeshwa na malaika? I can assure you even precision air is not successfully......... Air Tanzania yaweza ku run kwa faid kabisa.
Soma vIzuri alichoandika sio unakurupuka.
Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroliMkuu alisema Airbus hivi vindege vidogo ni matatizo tu...labda viwe vinafanya domestic route lakini kama ishu ni kwa ajili ya kusaidia kukusaidia kukuza utalii..hakuna watalii wanaopenda kupanda vindege vinavyopiga kelele angani..
Kama JMP anataka kufufua shirika la ndege basi agize ndege za kisasa hata kama ni mtumba lakini ziwe za kisasa..
Unamaanisha ni kama zile toroli za wabeba mizigo wa Ubungo?Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
Hii comment yako is a real definition ya mtu negative and inferior..... Kwani precision air yaendeshwa na malaika? I can assure you even precision air is not successfully......... Air Tanzania yaweza ku run kwa faid kabisa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Shabiby zile luxury coach za Dom ni bomba zaidiUnamaanisha ni kama zile toroli za wabeba mizigo wa Ubungo?
Umenena kweli kuongoza tanzania kunahitaji au uwe ni checkbob au uweke nta katika masikio uwasukume bila kujali. Kila mtu mtaalam WA kila kitu hata sie tuliopanda ndege kwa hisani ya Fastjet ni wataalam WA ndege ingawa Kama Fastjet isingekuja tanzania tungekuta bila hata kupanda conveyer belt za jniaWabongo bwana heti kelele angani kwani kuna ndege inatembea kimyakimya angani?.bora tuanze na hivyo.tatizo nyie kila kitu ni wakatisha tamaa
Hizo ndege zitakuwa chakavu na zimepakwa rangi tu,na sisi tutakalia kusifia tu ooh serikali hii ndio nzuri,nzuri kwa MAJIZI TU.Unamaanisha ni kama zile toroli za wabeba mizigo wa Ubungo?
Hii comment yako is a real definition ya mtu negative and inferior..... Kwani precision air yaendeshwa na malaika? I can assure you even precision air is not successfully......... Air Tanzania yaweza ku run kwa faid kabisa.
Ndio maana huwa nawasifu sana watu wa Kilimanjaro na Arusha kwa uwezo wa kiakili waliojaaliwa na MUNGU,bro umegusa pale pale,hizo ndege chakavu zikianza kazi chini ya serekali,basi ujue zitaenda tupu na kurudi tupu mpaka shirika litasambaa bila kurudisha hata pesa ya toilet paper za ndani ya ndege,ukitaka ticket utaambiwa ndege imejaa,mpaka utoe rushwa,na hizo ndege zikienda service mara moja, wataandika zimeenda mara saba.kama air tanzania inaendeshwa na serikali ya tanzania basi usahau. itaendeshwa kama muimbili abiria watakaa chini na vyakula vitakuwa shilingi 50,000
Mwambie huyo ngosha,yeye anafikiri ni biashara ya boda boda hiyo,serekali inashindwa kuendesha huduma ya mabasi ya D.A.R.T na mifano tunaiona,haya niambie hayo madege chakavu serekali itweza?Uttoh2002,
Kuonesha ''shaka'' kwa mifano hai kuwa Air Tanzania haitaweza kufanya vizuri katika biashara ya usafiri wa anga siyo inferiority complex. Tujijengee utamaduni wa ''kusikiliza'' maoni tofauti na kisha kutoa maoni yako kwa hoja mbadala ambao pengine unaweza kushawishi kukubalika au kukataliwa.
Nimekupa mfano PrecisionAir wameweza kujiendesha (tangu mwaka 1991) wakiwa na ndege za Twin Otter na kujitanua mpaka kuwa na ndege kubwa pamoja na kuvutia wawekezaji-wabia na changamoto zote zinazowakabili lakini bado wapo wanarusha ndege kwa uhakika.
Ungeleta angalau mifano wa jinsi Air Tanzania inavyoweza kujiendesha kibiashara kuondoa mashaka wa ''mradi huu wa dola million 27 x2 = US$ 54 Millioni sawa na billion za kitanzania Tshs. 100 Bn.
Serekali yetu haina uwezo wa kuendesha hata biashara ya boda boda,inachoweza ni kugawa kanga,kofia,pombe ya kienyeji,supu ya makongoro na ngoma ya bugobogobo kwa wananchi waimbe,wacheze ngoma halafu waende wakasambaze ukimwi na kuzaa watoto nje ya ndoa wasio wajua baba zao baaasi.N
Nimesoma vizuri and I still have the same comment! Viongozi kuomba kupanda Ndege Ni issue ya policies tu!!! Hakuna point hapo....
Mkuu,wakati niko shule mpaka chuo,nilikuwa nayaogopa majina yafuatayo darasani kiakili;Mzava,Kimario,Mshana,Lyatuu,Shoo, etc,etc bila kubagua wenzetu wa kule Kagera,Mbeya,Iringa,Ukerewe,Ujita,Shirati.kama air tanzania inaendeshwa na serikali ya tanzania basi usahau. itaendeshwa kama muimbili abiria watakaa chini na vyakula vitakuwa shilingi 50,000
Bodi ilioshindwa kuendesha shirika lenye ndege moja litaweza kuendesha shirika lenye ndege mbili? Sijasikia wakiongelea business plan au wanataka zikifika ndio wanze kujipanga? Viongozi wa hii nchi sio wa kuwaamini kwenye mambo ya biashara.Mwambie huyo ngosha,yeye anafikiri ni biashara ya boda boda hiyo,serekali inashindwa kuendesha huduma ya mabasi ya D.A.R.T na mifano tunaiona,haya niambie hayo madege chakavu serekali itweza?