Hizi ndio faida za kutofunga simu(lock)

Hizi ndio faida za kutofunga simu(lock)

Hoja zako napangua zote

1. Ulinzi wa dada uko pale pale, kuna njia nyingi za kuficha data mzee MEGA,DROPBOX,DRIVE MEDIAFIRE kwann usihifadhi huko? Kama unaogopa data kuleak ukiibiwa simu ndio utazipata bila kubackup?
2. Kama ni picha kuna option zaidi ya 1000 za kuficha bila kulok simu yako

Kwann usilok file 1 ambalo unaona ni muhimu na siri Kuliko kufunga simu yote?

Usitumie simu kwa kuwa una uwezo wa kumiliki smartphone mzee soma acha kukariri maisha. Kazi yenu kusoma udaku tu
Hee hee . Na kweli umezipangua zote. Mimi kwenye hii field niko tangu miaka ya 2000! Siyo tu kuwapo ila nimeisomea tena majuu. Wewe si Jamii Forum si ndiyo umeijua juzi juzi? Wengine tuko tangu enzi za Jambo Forum. Kwa taarifa yako: data ikiwa kwenye hizo dropbox etc ulizokariri na ukampoa mtu simu yako basi haziko salama! Na pia bado kuna vitu vingi tu huwezi kuweka huko...Inaonekana ndiyo umelimbukia kwenye haya mambo ya IT ukidhani unajua sana kumbe hujui chochote.
 
Ndio mana inashauriwa baada kumaliza kuperuzi kwenye mitandao toka nje (logout) hiyo ni kwa usalama zaidi.

Swala la ndugu kutuma pesa bila kuhakiki kwa kupiga simu ni uzembe.

Kutolock simu kunavunjaje uhusiano? Hoja hazina uzito kabisa
Tusidanganyane logout kwenye simu ni watu labda wa 3 kwenye 100
 
Kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu kufunga simu au kutofunga hizi hapa ni baadhi ya faida za kutofunga.

1. Faida ya kwanza. Binadamu tunatembelea hatujui hata sek 1 ijayo,unaweza kudondoka ghafla na ikakosa msaada kama umefunga simu yako. Huwezi kuongea wala kugusa kitu. Cha kwanza huwa zinatafutwa no unazowasiliana nazo kwa ukawaida zinapogwa ili kupewa taarifa. Kama umelock wahuni watatembea na simu na utabak hapohapo.

2. Faida ya pili. Ukiibiwa simu kama iko locked cha kwanza kabisa mwizi anawaza jinsi ya kuibanjua ili auze au atumie mwenyewe. Akienda kuflash au kurestore kila kitu kinafutika. Ila kama haijafungwa mwizi anaweza kuitumia hivyo hivyo bila kufuta au kuanzisha upya akihofia Factory Reset Protection (FRP) akitumia hivyo hivyo unaweza kutrack na kuipata simu yako.

Hizo ndio faida za kutofunga simu. No 2 ndio ilinifanya nipate simu yangu baada ya kuibiwa wk mbili hivi. Kama una hoja tofauti karibu mezani
Kumbuka kutokuweka nywila ni kosa kisheria
je_wajua2018-20200309-0001.jpeg
 
Hee hee . Na kweli umezipangua zote. Mimi kwenye hii field niko tangu miaka ya 2000! Siyo tu kuwapo ila nimeisomea tena majuu. Wewe si Jamii Forum si ndiyo umeijua juzi juzi? Wengine tuko tangu enzi za Jambo Forum. Kwa taarifa yako: data ikiwa kwenye hizo dropbox etc ulizokariri na ukampoa mtu simu yako basi haziko salama! Na pia bado kuna vitu vingi tu huwezi kuweka huko...Inaonekana ndiyo umelimbukia kwenye haya mambo ya IT ukidhani unajua sana kumbe hujui chochote.
Acha blaa blaa ww njoo na facts kwann haziko salama kwenye online storages? Mm hapo najifunza nini toka kwako toka kipindi cha jambo forum? Hata kama nimekuja juz pangua hoja kwa hoja sio tuhuma tu.

Aya Magufuli na M7 nani amekaa muda mwingi madarakani? Mbona dunia inafyata kwa Magufuli kuhusu korona?. Watu wa kukariri maisha kumbe mpo wengi sana
 
Teh teh...nacheka kigazeti. Labda kama unatumia android 5 au Tecno ndio maana unasema hivyo
Naona huna idea na masuala ya simu !!!
Kitu kikiwa mlango wazi ni rahisi sana kikichezea kuliko kikiwa na password.
 
Acha blaa blaa ww njoo na facts kwann haziko salama kwenye online storages? Mm hapo najifunza nini toka kwako toka kipindi cha jambo forum? Hata kama nimekuja juz pangua hoja kwa hoja sio tuhuma tu.

Aya Magufuli na M7 nani amekaa muda mwingi madarakani? Mbona dunia inafyata kwa Magufuli kuhusu korona?. Watu wa kukariri maisha kumbe mpo wengi sana
Du. I am trying to grab and play with numpty's pooper! He is enjoying..., Infact! Time to show the differences....
 
Weeee, wekeni paswadi, niliibiwa note 8 mpyaa ndio nikajua umuhumu wa nyiwila
 
Back
Top Bottom