Ndio mana inashauriwa baada kumaliza kuperuzi kwenye mitandao toka nje (logout) hiyo ni kwa usalama zaidi.
Swala la ndugu kutuma pesa bila kuhakiki kwa kupiga simu ni uzembe.
Kutolock simu kunavunjaje uhusiano? Hoja hazina uzito kabisa
Sababu za kijima na kijinga sana hizi. Siku hizi watu wanatembea na ID na zinakuwa na taarifa. Pia simu unaweza kupata taarifa za mwenye simu bila kujua password yake. Waliotengeneza simu walikuwa na akili kuliko wenye kutoa hizi sababu za kijima hivyo waliweka njia ya kuweza kuhifadhi taarifa na kupiga simu wakati wa dhararu kama huu, inaonekana wewe hujui. Na la muhimu kabisa ni kuwa faida za kuweka password kwenye kwenye simu ni nyingi na muhimu sana kuliko kutoweka.Kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu kufunga simu au kutofunga hizi hapa ni baadhi ya faida za kutofunga.
1. Faida ya kwanza. Binadamu tunatembelea hatujui hata sek 1 ijayo,unaweza kudondoka ghafla na ikakosa msaada kama umefunga simu yako. Huwezi kuongea wala kugusa kitu. Cha kwanza huwa zinatafutwa no unazowasiliana nazo kwa ukawaida zinapogwa ili kupewa taarifa. Kama umelock wahuni watatembea na simu na utabak hapohapo.
2. Faida ya pili. Ukiibiwa simu kama iko locked cha kwanza kabisa mwizi anawaza jinsi ya kuibanjua ili auze au atumie mwenyewe. Akienda kuflash au kurestore kila kitu kinafutika. Ila kama haijafungwa mwizi anaweza kuitumia hivyo hivyo bila kufuta au kuanzisha upya akihofia Factory Reset Protection (FRP) akitumia hivyo hivyo unaweza kutrack na kuipata simu yako.
Hizo ndio faida za kutofunga simu. No 2 ndio ilinifanya nipate simu yangu baada ya kuibiwa wk mbili hivi. Kama una hoja tofauti karibu mezani
Maneno meeengi hujataja hata faida moja au hasara ya kutolock hujioni kama ww ni mpumbavu? Nilitegemea ungekuja na njia sahihi blaa blaa tu chokoleti wwSababu za kijima na kijinga sana hizi. Siku hizi watu wanatembea na ID na zinakuwa na taarifa. Pia simu unaweza kupata taarifa za mwenye simu bila kujua password yake. Waliotengeneza simu walikuwa na akili kuliko wenye kutoa hizi sababu za kijima hivyo waliweka njia ya kuweza kuhifadhi taarifa na kupiga simu wakati wa dhararu kama huu, inaonekana wewe hujui. Na la muhimu kabisa ni kuwa faida za kuweka password kwenye kwenye simu ni nyingi na muhimu sana kuliko kutoweka.
Watanzania ni wachovu wa kufikiri ndio mana hata sheria zingine hazikati kote kote.TCRA wanakulia timing wakukule kichwa usipoweka password kwenye kifaa chako kama simu,computer,tablet and the like
ExactlyHasara ni nyingi kuliko faida
Wewe huwa unalog out baada ya kutumia mitandao "SEMA UKWELI"Ndio mana inashauriwa baada kumaliza kuperuzi kwenye mitandao toka nje (logout) hiyo ni kwa usalama zaidi.
Swala la ndugu kutuma pesa bila kuhakiki kwa kupiga simu ni uzembe.
Kutolock simu kunavunjaje uhusiano? Hoja hazina uzito kabisa
Kama una mchepuko hiyo ndo hasara kubwa.Ni
Tajie hasara 3 tu ambazo ni kubwa kuliko hizo Faida



Teh teh...nacheka kigazeti. Labda kama unatumia android 5 au Tecno ndio maana unasema hivyo
Karne hii unataka ku-suggest hujui faida za kuweka password kwenye simu yako? Haya ni matokeo mengine mabaya kabisa ya elimu yetu ya kukariri. Mtu anashindwa kuchukuwa hata kitu kilicho mita moja mbele yake mpaka asogezewe. Mara nyingine jaribu kuficha ujinga ulionao. Haya.. unajifanya hujui umuhimu wa data zako kwenye simu kuwa secured mpaka uambiwe? Unajifanya hujui mtu mwenye nia mbaya akishika simu yako kama haina password anaweza kufanya nini mpaka uambiwe? Unajifanya hujui vitu vya siri na muhimu vinavyoweza kuhifadhiwa kwenye simu mpaka uambiwe? Pengine hata umuhimu wa kutembea huku umevaa nguo hujui! You must be kidding!Maneno meeengi hujataja hata faida moja au hasara ya kutolock hujioni kama ww ni mpumbavu? Nilitegemea ungekuja na njia sahihi blaa blaa tu chokoleti ww
hata simu yangu ina iyo fituresMedical ID inafunguka bila password hapo utakuta namba muhimu ... utakuta aina la group la Damu utakuta uzito .. urefu .. kama mtu anamagonywa mengine ...Nadhani inategemea na simu unayotumia
Hoja zako napangua zoteKarne hii unataka ku-suggest hujui faida za kuweka password kwenye simu yako? Haya ni matokeo mengine mabaya kabisa ya elimu yetu ya kukariri. Mtu anashindwa kuchukuwa hata kitu kilicho mita moja mbele yake mpaka asogezewe. Mara nyingine jaribu kuficha ujinga ulionao. Haya.. unajifanya hujui umuhimu wa data zako kwenye simu kuwa secured mpaka uambiwe? Unajifanya hujui mtu mwenye nia mbaya akishika simu yako kama haina password anaweza kufanya nini mpaka uambiwe? Unajifanya hujui vitu vya siri na muhimu vinavyoweza kuhifadhiwa kwenye simu mpaka uambiwe? Pengine hata umuhimu wa kutembea huku umevaa nguo hujui! You must be kidding!