Hizi ndio chorus kali za kuchana (hiphop ) Bongo

Hizi ndio chorus kali za kuchana (hiphop ) Bongo

Nimekwambia kaimba mtu mmoja tu na ni domokaya
Hapana kuna bridge pale mwanzo sikiliza kwa makini utasikia vizuri

Na Chorus wameimba pamoja na ManDojo acha ubishi, kuchana kachana Domokaya ila Chorus wameimba pamoja, acha kukurupuka sikiliza vizuri
 
Kama hujui hip hop au Kama umeujua muziki baada ya Diamond au kama umejua muziki wa hip hop baada ya kumsikia Nikki mbishi au Songa basi naomba uachane na huu uzi Maana itakuwa hujui nyimbo nyingi..hizi ndio chorus kali kuwahi kutokea bongo tangu muziki wa hiphop ukue.
1:Tathimini ya Prof Jay feat Jay moe
2:mtazamo ya prof Jay,afande sele na Solo thang
3:sugu moto chini ya Jongwe a.k.a Sugu
4:mvua na jua ya Jay moe
5:Zamu yangu ya Joe makini
6:hii leo ya East coast team
7:Nini mnataka ya Pig black
8:nikizipata ya Eruka
9😛igo la mwaka ya fanani
10:nisikilize ya pig black feat mr blue
11:Mwanangu huna nidhamu ya Dudu baya
12:new era ya new generation humu kuna stereo,one,gozib,young killer,,izzo b na Cyril na mabestie
13:fanya fasta ya TLST
14:trak tatu ndani ya traki moja ya stopa rhymes
15:dsm stand up ya chid Benz
16:sio lazima ya Watengwa
17:kina kirefu ya Mansoor
18:raha tu (original na sio remix) ya Ay
18:Miiko ya rap ya Crazy Gk ft Ay yaani humu ndani Ay alipiga chorus tamu sana
19:hiphop ya marehemu Vivian feat Ay(humu pia Ay alinyonga bonge la chorus)
20:yo maam sapu ya hard blasters.
Niambie wewe za kwako ni zipi?? Kumbuka hapa naongelea nyimbo ambazo zina chorus ya kurap na zikahit.
1) Unaonaje By Jos Mtambo Beat kwa D Money ilikua Pembeni ya CBE
2) Mbele kwa Mbele by DJ Yusuf
3) Utaona by Baggz Malone ft Zomba (Kwanzania)
4) Masikini Jeuri (Manduli Mobb)
5) Mtulize by DjSnox, JB (Mabaga Fresh) & Nature
6) Mimi Msafiri Remix by Kwanzania ft King Kiki
7) Mambo ya Fedha by Sugu
8) Je Utanipenda Remix by Mike Tee ft Sugu
9) Mchizi Wangu Remix by Lord Eyes ft All Bongo Stars
10) Mstari wa Mbele by Kalapina (Kikosi cha Mizinga)
 
1) Unaonaje By Jos Mtambo Beat kwa D Money ilikua Pembeni ya CBE
2) Mbele kwa Mbele by DJ Yusuf
3) Utaona by Baggz Malone ft Zomba (Kwanzania)
4) Masikini Jeuri (Manduli Mobb)
5) Mtulize by DjSnox, JB (Mabaga Fresh) & Nature
6) Mimi Msafiri Remix by Kwanzania ft King Kiki
7) Mambo ya Fedha by Sugu
8) Je Utanipenda Remix by Mike Tee ft Sugu
9) Mchizi Wangu Remix by Lord Eyes ft All Bongo Stars
10) Mstari wa Mbele by Kalapina (Kikosi cha Mizinga)

Sema huyo Jose mtambo ujue chemistry yake na D money ilikuwa hatari sana..ngoma zote alizopiga na D money zilikuwa hatari sana
 
Hapana kuna bridge pale mwanzo sikiliza kwa makini utasikia vizuri

Na Chorus wameimba pamoja na ManDojo acha ubishi, kuchana kachana Domokaya ila Chorus wameimba pamoja, acha kukurupuka sikiliza vizuri

Haya basi unajua wewe..Kwa sababu hiyo ngoma kapiga kwa Mika mwamba na Mika mwamba alikuwa hana tabia ya kushinda na wasaniii pale studio kwake .ukienda ujue umeenda kutengeneza ngoma tu
 
Kwanza mkuu niseme Asante sana kiukweli umenikumbusha mbali sana na hiyo ya snoop lee na inaonekana unajua muziki wa hiphop San.Sema hiyo hiyo ya kamanda sio hiphop Maana humo feruzi kaimba.Hata huyo kali p hajachana.labda kali p ungeniambia ile inaitwa Full kujiachia na nadhani ndio ngoma yake ya mwisho kutoa baada ya hapo akaamua kuacha muziki ameamua kumtumikia Mungu
Yeah ni kweli

Nimeziweka tu, si unajua old is gold
 
Sema huyo Jose mtambo ujue chemistry yake na D money ilikuwa hatari sana..ngoma zote alizopiga na D money zilikuwa hatari sana
D Money alikua na Beats flan hivi kama za Ki Mamtoni, sema sababu hakua anafanya Production biashara bali Production Fani ndo hakuendelea tena. Ila alimtoa sana Jose Mtambo.
 
D Money alikua na Beats flan hivi kama za Ki Mamtoni, sema sababu hakua anafanya Production biashara bali Production Fani ndo hakuendelea tena. Ila alimtoa sana Jose Mtambo.

Hakika mkuuu!! Jamaa alienda zake America
 
Komaa-Juma nature.

Kitu kinavyoanza tu "Hruuuyeee"
 
Fid Q - ielewe mitaa
Professor Jay - Nang'atuka
Rado - Usiulize
Langa - hip-hop
Godzilla - salasala
Young killer- my power
Afande sele - watu pori
Coni boy - till I die
Stereo - Swahili ( hii ndo the best kwangu)
John makini - niaje nivipi
 
Kama hujui hip hop au Kama umeujua muziki baada ya Diamond au kama umejua muziki wa hip hop baada ya kumsikia Nikki mbishi au Songa basi naomba uachane na huu uzi Maana itakuwa hujui nyimbo nyingi.

Hizi ndio chorus kali kuwahi kutokea Bongo tangu muziki wa hiphop ukue.

1: Tathimini ya Prof. Jay feat Jay Moe
2: Mtazamo ya Prof. Jay, Afande Sele na Solo Thang
3: Sugu moto chini ya Jongwe a.k.a Sugu
4: Mvua na jua ya Jay Moe
5: Zamu yangu ya Joe Makini
6: Hii leo ya East Coast Team
7: Nini mnataka ya Pig Black
8: Nikizipata ya Eruka
9: Igo la mwaka ya Fanani
10: Nisikilize ya Pig Black feat Mr. Blue
11: Mwanangu huna nidhamu ya Dudu Baya
12: New era ya new generation humu kuna Stereo, One, Gozib, Young Killer, Izzo b na Cyril na Mabestie
13: Fanya fasta ya TLST
14: Trak tatu ndani ya traki moja ya Stopa Rhymes
15: DSM stand up ya Chid Benz
16: Sio lazima ya Watengwa
17: Kina kirefu ya Mansoor
18: Raha tu (original na sio remix) ya Ay
18: Miiko ya rap ya Crazy Gk ft Ay yaani humu ndani Ay alipiga chorus tamu sana
19: Hiphop ya marehemu Vivian feat Ay(humu pia Ay alinyonga bonge la chorus)
20: Yo maam Sapu ya Hard Blasters.

Niambie wewe za kwako ni zipi? Kumbuka hapa naongelea nyimbo ambazo zina chorus ya kurap na zikahit.

Hiyo nini mnataka nimekuja kuelewa maneno yake miaka kama mitatu iloyopita, nilikua sielewi zile verse japo flow ilikua tamu balaa.

The rest list iko poa kabisa.
 
Snoop Lee mike moja
Kali p imekaa vibaya
Kala pina mstari wa mbele
Daz nunda kamanda
Kali o imekaa vibaya chorus si alikua anaimba?

Hivi Daz Nundaz lilikua kundi la hip hop au kuimba au katikati yake?
 
Changa la macho -AY ft Complex Rip
Ndani
Ndani ya party - solo thang ft mac 2b
Miss Tanzania - solo thang ft mac 2b
Hii leo - gk ft ay ft f.a
Ntakufaje - gk
Nitakukumbuka daima milele - gk ft TID
Msafiri - kwanza unit
Usiwe na hasira - solo thang ft nguza
Darubini kali - watu pori
Dunia ina mambo - watu pori
Chemsha bongo - prof j
Party flani - geez mabovu ft nhwair rip
Elimu dunia - daz baba ft ferouz ft afande sele
Nipe tano - daz nundaz
Wauguzi - wagosi wa kaya

Ukiacha hii leo na chemsha bongo zilizobaki chorus wanaimba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom