hizi mvua za dar shida tu

petersonchris

Member
Feb 14, 2017
25
10
leo nimefua vishuka vyangu kabla havijakauka na mvua nayo ikaja kuharibu..sasa hivi nimerudi ili nianue nakuta ndo kwanza vinavuja maji. naona kila dalili ya kutoa pazia mlangoni ili nijifunike mana hamna namna *akiliyangunaijuamwenyewe*
 
Dah.. Shuka ndiyo umeona kitu cha muhimu sana? Kweli akili yako unaijua mwenyewe
 
Zamani kuna msemo ulikuwa maarufu sana "kauka nikuvaé sanduku msumali "sasa fuata ushauri wa BAK.
 
Back
Top Bottom