Hizi meseji zenye kibwagizo 'Mungu anawaona'

mberege rukiko

Senior Member
Jul 19, 2016
167
132
*MUNGU ANAWAONA*

Kuna Meseji, zinaandikwa siku hizi na naona zinazidi kupata umaarufu sana.

Mwishoni wanaandikaa
*'''MUNGU ANAWAONA '''.*

Hizi meseji zimelifanya kama Jina la MUNGU kuwa kitu ambacho unaweza ukakitumia kwenye *Upuuzi na mzaha wowote*

Msingi wa MUNGU ulio Imara....Unasema

_*"Usilitaje Bure Jina la BWANA, Mungu wako,maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu yule alitajaye jina lake Bure."*_
_Kutoka 20;7_

Jina la Mungu ni takatifu sana sijui kwa nini tumeamua kulifanya kuwa la kawaida kiasi hiki kiasi kwamba tunalitaja hovyo hovyo.

Unaweza Usiwe mwandikaji, lakini Kuishare kwako.
Kutakuingiza Kwenye shida ya Kukubaliana na Kushirikiana na mwandishi katika dhambi hiyo.

Ni nani ajuaye hali ya Kiroho ya wanaoandika meseji hizo? pengine hata hawamjui Mungu, lakini wewe unaesoma ujumbe huu tafakari kwa kina juu ya ujumbe huu.

*MUNGU AKUBARIKI SANA*
 
acha kuhukumu kwani nawe utahukumiwa kwa kipimo kile kile,kumbuka kuwa MUNGU ANAKUONA!
 
Mleta uzi Mungu anakuona.

Maana anajua hakika ujachowaza. Kama ni sahihi sawa kama ni kosa yeye anakuona.

Kulitaja bure jina la Mungu kwa uelewa wangu ni katika viapo. Mfano unasema, kama Mungu aishivyo, sitotukana halafu baada ya hapo unaporomosha mitusi. Hapo umelitaja jina la Mungu bure, umelihusianisha na upuuzi wako.
 
we wa hovyo sana!!! Watu wanatahadharishana kuhusu kumkosea Mungu then wewe unakema! wewe ni nani??
 
*MUNGU ANAWAONA*

Kuna Meseji, zinaandikwa siku hizi na naona zinazidi kupata umaarufu sana.

Mwishoni wanaandikaa
*'''MUNGU ANAWAONA '''.*

Hizi meseji zimelifanya kama Jina la MUNGU kuwa kitu ambacho unaweza ukakitumia kwenye *Upuuzi na mzaha wowote*

Msingi wa MUNGU ulio Imara....Unasema

_*"Usilitaje Bure Jina la BWANA, Mungu wako,maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu yule alitajaye jina lake Bure."*_
_Kutoka 20;7_

Jina la Mungu ni takatifu sana sijui kwa nini tumeamua kulifanya kuwa la kawaida kiasi hiki kiasi kwamba tunalitaja hovyo hovyo.

Unaweza Usiwe mwandikaji, lakini Kuishare kwako.
Kutakuingiza Kwenye shida ya Kukubaliana na Kushirikiana na mwandishi katika dhambi hiyo.

Ni nani ajuaye hali ya Kiroho ya wanaoandika meseji hizo? pengine hata hawamjui Mungu, lakini wewe unaesoma ujumbe huu tafakari kwa kina juu ya ujumbe huu.

*MUNGU AKUBARIKI SANA*
Amen, ila mungu anakuona
 
Back
Top Bottom