Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Na Dotto Bulendu
Kuna mahali tunakosea,tujisahihishe
1.RPC-"Ninyi jidaini mnataka kuandamana,Nitawapiga kipigo cha mbwa koko"
2.DC- "Sasa hivi vibaka tutawakamata,tutawapiga na kuwavunja miguu maana tukiwapeleka mahakamani wanapewa dhamana"
3.RC- "Wale wote wanaokosoa kosoa nikuwakamata,kuwachapa viboko,na kuwachoma sindano za ukichaa"
4.RC. "Nasema hivi tutapitisha mkong'oto nyumba kwa nyumba,na hawa ni wa kuua tu na hakuna mambo ya haki za binadamu hapa maana hizi haki za binadamu zilitakiwa kuanzia kwako.
5.Kiongozi wa jumuiya ya vijana "Polisi wamekuwa wanawaonea huruma hawa watu,sasa tunakuomba mturuhusu sisi vijana hawa wanaokosoa kosoa tuwakamate na kuwapa kipondo"
6.Kiongozi wa jumuiya ya vijana "Mnasema Serikali hii haifanyi kazi,au mpaka tutape mimba wake zenu ndiyo muone tunafanya kazi?"
7.RC "Mimi juzi nilipokuwa pale Iringa,kuna kijamaa kikawa kinavunja nyumba na kuingia ndani kwangu bila kujua mimi nina nini ndani,nilimjibu kwa kumpa ombi aliloomba,nilipiga tu show ya dakika mbili,kilichotokea hakuwa mtu tena,hiyo na nikabaki kwa furaha nikanywa na bia moja"
8.DC "Mimi napokuwa hapa ni kamisaa wa chama changu,sasa usiniulize kwa nini nawapa maelekezo askari?"
9.Kiongozi wa Chama "Wewe ni nani mpaka hutaki kutoa salamu za chama?mbona RPC wa wapi huko sijui alitoa salama ya chama?wewe kwa nini hutaki?'
Kuna mahali tunateleza ,tujisahihishe,tuwe makini na kauli zetu hususani wale mliopewa dhamana ya kuongoza.
Mungu Ibariki Afrika.