Hizi kauli za Watawala zinadhihirisha kuwa Tanzania haiongozwi ila inatawaliwa na falme ya CCM. Wao kuuwa tena mtu asiye CCM ni haki

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Na Dotto Bulendu

Kuna mahali tunakosea,tujisahihishe

1.RPC-"Ninyi jidaini mnataka kuandamana,Nitawapiga kipigo cha mbwa koko"
2.DC- "Sasa hivi vibaka tutawakamata,tutawapiga na kuwavunja miguu maana tukiwapeleka mahakamani wanapewa dhamana"
3.RC- "Wale wote wanaokosoa kosoa nikuwakamata,kuwachapa viboko,na kuwachoma sindano za ukichaa"
4.RC. "Nasema hivi tutapitisha mkong'oto nyumba kwa nyumba,na hawa ni wa kuua tu na hakuna mambo ya haki za binadamu hapa maana hizi haki za binadamu zilitakiwa kuanzia kwako.
5.Kiongozi wa jumuiya ya vijana "Polisi wamekuwa wanawaonea huruma hawa watu,sasa tunakuomba mturuhusu sisi vijana hawa wanaokosoa kosoa tuwakamate na kuwapa kipondo"

6.Kiongozi wa jumuiya ya vijana "Mnasema Serikali hii haifanyi kazi,au mpaka tutape mimba wake zenu ndiyo muone tunafanya kazi?"

7.RC "Mimi juzi nilipokuwa pale Iringa,kuna kijamaa kikawa kinavunja nyumba na kuingia ndani kwangu bila kujua mimi nina nini ndani,nilimjibu kwa kumpa ombi aliloomba,nilipiga tu show ya dakika mbili,kilichotokea hakuwa mtu tena,hiyo na nikabaki kwa furaha nikanywa na bia moja"

8.DC "Mimi napokuwa hapa ni kamisaa wa chama changu,sasa usiniulize kwa nini nawapa maelekezo askari?"

9.Kiongozi wa Chama "Wewe ni nani mpaka hutaki kutoa salamu za chama?mbona RPC wa wapi huko sijui alitoa salama ya chama?wewe kwa nini hutaki?'

Kuna mahali tunateleza ,tujisahihishe,tuwe makini na kauli zetu hususani wale mliopewa dhamana ya kuongoza.

Mungu Ibariki Afrika.
 
7.RC "Mimi juzi nilipokuwa pale Iringa,kuna kijamaa kikawa kinavunja nyumba na kuingia ndani kwangu bila kujua mimi nina nini ndani,nilimjibu kwa kumpa ombi aliloomba,nilipiga tu show ya dakika mbili,kilichotokea hakuwa mtu tena,hiyo na nikabaki kwa furaha nikanywa na bia moja"
 
1. Katika kichwa cha mada yako umesema CCM inafurahia kifo cha asiye mwanaCCM na kwenye maelezo umemtaja RC aliyeua kibaka aliyevamia. Hapo hujathibitisha kwamba vibaka wote ni wanachama wa vyama vingine isipokuwa ccm?

2. Kama vyama vingine vinafuga vibaka ,je ni halali kiendelea kuendelea kulea vyama hivyo? KWA nini visifutwe?

3. Kwa maslahi ya nani unatetea vibaka ambao wengi wao hubaka dada zetu wanapovamia nyumba za watu , wengine huua kabisa na wengine hudhuru kwa namna moja au nyingine? kwako wewe huyo rc angedhuriwa na huyo kibaka ndio ingekuwa furaha?

acha uanaharakati usio na faida ni mbaya kwako, kwa familia yako ,kwa jamii yako na kwa nchi yako kwa ujumla
 
Mahakama ipo ya kufanya kazi gani?
Nilikuuliza asubuhi, kumuita mtu mpumbavu sio tusi, ila nikasema kama ni tusi uniwie radhi.
 
1. Katika kichwa cha mada yako umesema CCM inafurahia kifo cha asiye mwanaCCM na kwenye maelezo umemtaja RC aliyeua kibaka aliyevamia. Hapo hujathibitisha kwamba vibaka wote ni wanachama wa vyama vingine isipokuwa ccm?

2. Kama vyama vingine vinafuga vibaka ,je ni halali kiendelea kuendelea kulea vyama hivyo? KWA nini visifutwe?

3. Kwa maslahi ya nani unatetea vibaka ambao wengi wao hubaka dada zetu wanapovamia nyumba za watu , wengine huua kabisa na wengine hudhuru kwa namna moja au nyingine? kwako wewe huyo rc angedhuriwa na huyo kibaka ndio ingekuwa furaha?

acha uanaharakati usio na faida ni mbaya kwako, kwa familia yako ,kwa jamii yako na kwa nchi yako kwa ujumla
Mahakama ina kazi gani katika awamu hii?
 
Viongozi wamekosa busara. alafu wanasahau kua jamii ikiamua kubadilika nakujichukulia sheria mkononi ata wao hawawezi kua salama.Sasa inashangaza kiongozi anapotoa kauli zakifedhuli hadharani kana kwamba waliotunga sheria na vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na taratibu walikua wajinga.Wanasiasa wanajisahau sana.
 
1. Katika kichwa cha mada yako umesema CCM inafurahia kifo cha asiye mwanaCCM na kwenye maelezo umemtaja RC aliyeua kibaka aliyevamia. Hapo hujathibitisha kwamba vibaka wote ni wanachama wa vyama vingine isipokuwa ccm?

2. Kama vyama vingine vinafuga vibaka ,je ni halali kiendelea kuendelea kulea vyama hivyo? KWA nini visifutwe?

3. Kwa maslahi ya nani unatetea vibaka ambao wengi wao hubaka dada zetu wanapovamia nyumba za watu , wengine huua kabisa na wengine hudhuru kwa namna moja au nyingine? kwako wewe huyo rc angedhuriwa na huyo kibaka ndio ingekuwa furaha?

acha uanaharakati usio na faida ni mbaya kwako, kwa familia yako ,kwa jamii yako na kwa nchi yako kwa ujumla
Subiri uteuzi.
 
Hata ninyi si mna mawaziri vivuli kule Bungeni? Anzisheni na nyie ununda wenu ninyi si mnajiita nguvu ya umma kuinua chips yai? 😂😂😂😂😂😂
 
1. Katika kichwa cha mada yako umesema CCM inafurahia kifo cha asiye mwanaCCM na kwenye maelezo umemtaja RC aliyeua kibaka aliyevamia. Hapo hujathibitisha kwamba vibaka wote ni wanachama wa vyama vingine isipokuwa ccm?

2. Kama vyama vingine vinafuga vibaka ,je ni halali kiendelea kuendelea kulea vyama hivyo? KWA nini visifutwe?

3. Kwa maslahi ya nani unatetea vibaka ambao wengi wao hubaka dada zetu wanapovamia nyumba za watu , wengine huua kabisa na wengine hudhuru kwa namna moja au nyingine? kwako wewe huyo rc angedhuriwa na huyo kibaka ndio ingekuwa furaha?

acha uanaharakati usio na faida ni mbaya kwako, kwa familia yako ,kwa jamii yako na kwa nchi yako kwa ujumla
Wewe kwako matamshi ya huyo Rc yako sawa?
 
Kusoma kwako kote umeona tu hapo kwa kibaka?
 
Hivi kuna wezi na wakatisha uhai wa wananchi kama wezi awa..
ESROW
KAGODA
RICHMOND
LUGUMI
RADAR
UNIFORM HEWA ZA POLISI
MERE META
NDEGE KUTOKAGULIWA
n.k
 
Kauli za Mwenyekiti wao ndiyo funga kazi 😂..
Naweza kusema hata hizi zina unafuu..
 
Kusoma kwako kote umeona tu hapo kwa kibaka?
Yaani Mpaka Wakt Mwingine Nawashangaa Wasomi! Sio Kwa Mihemko Hii... Lakini Kila Lenye Mwanzo, Lina Mwisho. Na Muumba Akatupiganie Sisi Wanyonge! Maana Yeye Tu, Ndiye Mwenye Mamlaka, Na Waliopew Hapa Chini Ya Ardhi, Kawapa Yeye!
 
Dawa ya Moto ni Moto ,kila mmoja kwa Nafasi yake aitumie vizuri sababu haiwezekani Binadamu kumilikiwa kibabe kisa una Mamlaka huku unavunja Haki za wengine.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom