The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,076
Sina sababu ya kusema hakuna uhakika, kwa sababu ukisema huna uhakika maana yake ni wewe ndio huna uhakika ila wengine wana uhakika. Ukiwaomba hao wengine taarifa ili na wewe uhakikishe na wao pia hawana.Kwanini usiseme hakuna uhakika wa kujua kama Mungu yupo au hayupo kwa sababu hakuna njia ya kuhakiki hilo? Wapo wenye mtazamo huo kwamba hakuna njia ya kujua ya kuweza kuthibitisha uwepo wake ila wewe unakimbilia kusema hayupo.
Hizo sifa tofauti za Mungu hazitoi hitimisho la kuwa hakuna Mungu.
Sasa kama kila mtu hana uhakika, maana yake kitu kinachozungumziwa hakipo. Hitimisho ni kwamba hicho kitu hakipo.
Mungu hayupo.