Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

Nipo hapa nikipata darasa,

Maswali ni mazito kama tani 30 za nondo,
Lakini majibu ni mepesi kama kilo ya pamba
Ni kwa sababu hayo maswali yanaelekezwa kwa asiye sahihi na mengine hayana msingi wowote, mtu anauliza Mungu akichoka anapumzika wapi? Sasa swali kama hilo tena kwa mtu ambaye anapinga uwepo wa Mungu yeye hilo swali litamsaidia nini? Ni kuuliza ilimradi kauliza naye ionekane kauliza swali gumu kana kwamba point ya msingi kwenye suala la uwepo wa Mungu ni kuuliza maswali na kujibu.
 
Kuamini sio tatizo, kuamini kuna sababu zake na dalili za kuamini hivyo unavyoamini maana kuamini si katika masuala ya Mungu na dini tu kama nyie mnavyodhani, hata kwenye sayansi kuna nadharia tunaziamini na tusizoziamini.
Ukisema unaamini maana yake umekubali kwamba wewe ni mjinga. Wajinga ndio wanaamini. Imani ni jambo la watu wajinga.
 
Kiarabu/kilatini/Hebrew ni lugha ambayo waabudu shetani wanaitumia. Soma hapa chini..

The magical language used in Satanic ritual is Enochian, a language thought to be older than Sanskrit, with a sound grammatical and syntactical bases. It resembles Arabic in some sounds and Hebrew and Latin in others. It first appeared in print in
1659 in a biography of John Dee, the famous Sixteenth Century seer and court astrologer. This work, by Meric Casaubon, describes the occultist Dee's activities with his associate, Edward Kelly, in the art of scrying or crystal gazing.

kwa maana hiyo wale waleta dini za ukristo, uyahudi, uislam ndio wanaojua tofauti kati ya hizo dini na ushetani.
Duu
 
Issue ya Mungu ni very complicated, but existence ya binadamu na uhai Kwenye Sayari ya Dunia pekee (Hadi sasa hatujui, mahari popote kwenye Uhai) ni more complicated.

According to Science (I'm scientist too)
Dunia ina Miaka zaidi ya 4.5 billions ilichukua Miaka billion 3.5 dunia na condition za mwanzo zilizosababisha Maisha from simple cellular life.

Katika kipindi hiki, Dunia iligongana na Sayari inaitwa Theia ambayo Ndio chanzo Cha Dunia kuwa na Mwezi tunouona, Licha ya hii impact kuwa mbaya Lakini ilisababisha msingi muhimu wa upekee wa Dunia, Hili lilifanya Dunia kuwa tilt kwa nyuzi 23, pia ikasababisha core(kokwa la Dunia) kuzunguka kwa kasi sana, hii Ndio sababu Dunia ina strong Magnetic field ambayo inazuia Solar winds kufika ardhini na pia inasababisha atmosphere ya Dunia isipotee na hivyo maji kukakua(Maji Ndio msingi wa aina zote za Maisha Dunia).

Si kuwa tulipata hayo Mabadiliko Lakini pia tulipata mwezi ambao unachangia sana tabia ya nchi na vitu kama tidal waves

Hili tukio lilitokea kipindi Maji wala Maisha Bado hayajatokea Duniani.

Kumbuka Mars haina atmosphere na Usumaku kama wa Dunia na Ndio sababu ya maji yake yako chini ya ardhi na mengine yalipotea, but si asilimia impact kama ya Dunia na Theia inagarantee mabadiliko kama yalitokea kwa Dunia.

Jupiter, uwepo wa Jupiter umbali uliopo uanilinda sana Dunia dhidi ya Vimondo na Magimba mengine ambayo yangeigonga Dunia na kusababisha madhara kwa Dunia na binadamu, hakuna mpangilio mwingine kama huu kwenye Planetary Systems zingine.

Venus, Kwenye Solar System yetu kuna Sayari 4 ambazo zimeundwa kwa miamba ambazo zinaweza kuhifadhi maji na kuruhusu Maisha, but Dunia ni ya kipekee na yenye Bahati, why?
Mercury iko karibu sana na Jua na ni tidally locked (Upande mmoja tu Ndio unaiona Jua na upande mwingine always ni Giza) ukiachia joto ni Eneo dogo sana lingepata maji na kuwa na uhai, Venus Ndio Sayari yenye joto sana kwenye Solar system na inazunguka anti-clockwise, Licha ya hali yake Venus ilikuwa inafanana na Dunia kwa zaidi ya asilimia 90 na pengine ilikuwa na Maji na miti au some cellular life lakini ikagongana na Other body ikaisababishia hali iliyopo sana, Mars haina atmosphere, wala Usumaku na kokwa lake limeganda, hivyo maji wala atmosphere haiwezi kukata, But kwa upekee na Bahati Dunia imepona na kuwa kama ilivo Leo.

Jambo lingine la kipekee ni Extinction of dangerous Dinosaurs, baada ya miaka na miaka Solar system ikawa Stable na maisha yakatokea Duniani na viumbe wa aina tofauti wakatokea, Moja ya hao viumbe ni Dinosaur hawa walikuwa wakubwa na wanakula viumbe vidogo vidogo, kwa maana nyingine Maisha ya Binadamu na utashi wake usinge kuwepo kama Dinosaur wangeishi wakati mmoja na Binadamu, Lakini kwa upekee na maajabu Dunia ikaangukiwa na Kimondo ambacho kilisababisha Dinosaur kufa wakabaki ndege tu ambao Ndio chakula chetu.

Haya matukio ni ya kipekee na ya Bahati sana, huwa najiuliza kwanini Yalitokea kwa Dunia tu, hili swali hunifanya nijisemee inawezekana Mungu yuko, ila anavosemwa na Dini sio sahihi
 
Uwepo wa Mungu unakubalika kwa imani na si kwa uthibitisho sasa kama utaniambia hakuna Mungu kwa sababu hakuna uthibitisho basi itakuwa hujui unajadili nini.
Mi najua najadili nini ila inaonekana wewe ndo hujui hata unaamini kitu gani. Mkuu naomba nikuulize ni kipi hasa kinakufanya uamini huyo Mungu yupo kama hakuna uthibitisho? ,Labda hii itasaidia hata mimi kujua. Au na wewe ni miongoni mwa wahanga wa mazingira uliyokulia na ukajikuta unaamini story ulizisoma na kusimuliwa na wazee wako?
 
Mkuu ukikubaliana na nadharia ya uwepo wa Mungu kwa kutumia imani basi huna tofauti na mwendawazimu, jambo kubwa kama uwepo wa Mungu inatakiwa watu wajue dhahiri kwa uthibitisho thabiti na si imani au kusoma/ kusimuliwa story za watoto kutoka kwenye vitabu mnavyoviita vitakatifu.
 
Unachokiandika kinaonyesha wazi humjui Mungu. Mungu ni mkamilifu hakutwi na udhaifu wowote ule, ndio maana umeshindwa kujua hekima ya sisi kutuumba.

Mola aliumba Dunia kwa melengo maalumu, na hakujidumbua sababu kujisumbua ni katika udhaifu na Mola wetu si mdhaifu bali ni mkamilifu, hachoki, hajutii, ana elimu ana nguvu.

Si kweli kwamba Mungu alichoka, huu ni ufahamu mbaya kuhusu Mungu, Mungu hakuwahi kuchoka, wala hatochoka. Maandiko yanayozema alipumzika (sidhani kama yapo) yaangaliwe upya, kwani yamemzulia Mola uongo pasi na elimu yoyote.
Unaweza kupumzika Bila kuchoka?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukikubaliana na nadharia ya uwepo wa Mungu kwa kutumia imani basi huna tofauti na mwendawazimu, jambo kubwa kama uwepo wa Mungu inatakiwa watu wajue dhahiri kwa uthibitisho thabiti na si imani au kusoma/ kusimuliwa story za watoto kutoka kwenye vitabu mnavyoviita vitakatifu.
Bado una shida kuhusu imani kwa maana kwa uelewa wako imani ni uongo na hilo ndio tatizo hapa.
 
Mi najua najadili nini ila inaonekana wewe ndo hujui hata unaamini kitu gani. Mkuu naomba nikuulize ni kipi hasa kinakufanya uamini huyo Mungu yupo kama hakuna uthibitisho? ,Labda hii itasaidia hata mimi kujua. Au na wewe ni miongoni mwa wahanga wa mazingira uliyokulia na ukajikuta unaamini story ulizisoma na kusimuliwa na wazee wako?
Kama unadhani uthibitisho ndio tatizo hapo basi kusingekuwa na atheists waliyokuja kuwa waamini Mungu, kwa maana kukosekana kwa uthibitisho wa kuwepo Mungu kungewazuia wao kukubali kuamini Mungu.
 
Unaweza kupumzika Bila kuchoka?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Umeuliza swali ambalo kwa Mungu ni la uongo. Mungu hajawahi kupumzika kwahiyo unaposema kuchoka ni muhali kwake.

Lakini kilugha unaweza kupumzika bila kuchoka. Tamko kupumzika kwetu waswahili sio lazima uwe umechoka.

Sasa hoja yako hapa ni ipi ?
 
Issue ya Mungu ni very complicated, but existence ya binadamu na uhai Kwenye Sayari ya Dunia pekee (Hadi sasa hatujui, mahari popote kwenye Uhai) ni more complicated.

According to Science (I'm scientist too)
Dunia ina Miaka zaidi ya 4.5 billions ilichukua Miaka billion 3.5 dunia na condition za mwanzo zilizosababisha Maisha from simple cellular life.

Katika kipindi hiki, Dunia iligongana na Sayari inaitwa Theia ambayo Ndio chanzo Cha Dunia kuwa na Mwezi tunouona, Licha ya hii impact kuwa mbaya Lakini ilisababisha msingi muhimu wa upekee wa Dunia, Hili lilifanya Dunia kuwa tilt kwa nyuzi 23, pia ikasababisha core(kokwa la Dunia) kuzunguka kwa kasi sana, hii Ndio sababu Dunia ina strong Magnetic field ambayo inazuia Solar winds kufika ardhini na pia inasababisha atmosphere ya Dunia isipotee na hivyo maji kukakua(Maji Ndio msingi wa aina zote za Maisha Dunia).

Si kuwa tulipata hayo Mabadiliko Lakini pia tulipata mwezi ambao unachangia sana tabia ya nchi na vitu kama tidal waves

Hili tukio lilitokea kipindi Maji wala Maisha Bado hayajatokea Duniani.

Kumbuka Mars haina atmosphere na Usumaku kama wa Dunia na Ndio sababu ya maji yake yako chini ya ardhi na mengine yalipotea, but si asilimia impact kama ya Dunia na Theia inagarantee mabadiliko kama yalitokea kwa Dunia.

Jupiter, uwepo wa Jupiter umbali uliopo uanilinda sana Dunia dhidi ya Vimondo na Magimba mengine ambayo yangeigonga Dunia na kusababisha madhara kwa Dunia na binadamu, hakuna mpangilio mwingine kama huu kwenye Planetary Systems zingine.

Venus, Kwenye Solar System yetu kuna Sayari 4 ambazo zimeundwa kwa miamba ambazo zinaweza kuhifadhi maji na kuruhusu Maisha, but Dunia ni ya kipekee na yenye Bahati, why?
Mercury iko karibu sana na Jua na ni tidally locked (Upande mmoja tu Ndio unaiona Jua na upande mwingine always ni Giza) ukiachia joto ni Eneo dogo sana lingepata maji na kuwa na uhai, Venus Ndio Sayari yenye joto sana kwenye Solar system na inazunguka anti-clockwise, Licha ya hali yake Venus ilikuwa inafanana na Dunia kwa zaidi ya asilimia 90 na pengine ilikuwa na Maji na miti au some cellular life lakini ikagongana na Other body ikaisababishia hali iliyopo sana, Mars haina atmosphere, wala Usumaku na kokwa lake limeganda, hivyo maji wala atmosphere haiwezi kukata, But kwa upekee na Bahati Dunia imepona na kuwa kama ilivo Leo.

Jambo lingine la kipekee ni Extinction of dangerous Dinosaurs, baada ya miaka na miaka Solar system ikawa Stable na maisha yakatokea Duniani na viumbe wa aina tofauti wakatokea, Moja ya hao viumbe ni Dinosaur hawa walikuwa wakubwa na wanakula viumbe vidogo vidogo, kwa maana nyingine Maisha ya Binadamu na utashi wake usinge kuwepo kama Dinosaur wangeishi wakati mmoja na Binadamu, Lakini kwa upekee na maajabu Dunia ikaangukiwa na Kimondo ambacho kilisababisha Dinosaur kufa wakabaki ndege tu ambao Ndio chakula chetu.

Haya matukio ni ya kipekee na ya Bahati sana, huwa najiuliza kwanini Yalitokea kwa Dunia tu, hili swali hunifanya nijisemee inawezekana Mungu yuko, ila anavosemwa na Dini sio sahihi
Umeelezea vyema sana
 
Mkuu ukikubaliana na nadharia ya uwepo wa Mungu kwa kutumia imani basi huna tofauti na mwendawazimu, jambo kubwa kama uwepo wa Mungu inatakiwa watu wajue dhahiri kwa uthibitisho thabiti na si imani au kusoma/ kusimuliwa story za watoto kutoka kwenye vitabu mnavyoviita vitakatifu.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bado una shida kuhusu imani kwa maana kwa uelewa wako imani ni uongo na hilo ndio tatizo hapa.
"IMANI" ni kweli imani ndo shida binadamu wanatakiwa wamjue Mungu na si kuamini Mungu yupo. Jambo lolote linalowekwa kwenye imani huwa haliko bayana mara zote huwa lina pande mbili aidha uongo au ukweli, faida au hasara, lipo au halipo nk.
 
Back
Top Bottom