Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

"IMANI" ni kweli imani ndo shida binadamu wanatakiwa wamjue Mungu na si kuamini Mungu yupo. Jambo lolote linalowekwa kwenye imani huwa haliko bayana mara zote huwa lina pande mbili aidha uongo au ukweli, faida au hasara, lipo au halipo nk.
Kwanza mkuu neno "kujua" halina mafungamano na ukweli kwa maana unaweza hata ukajua visivyo vya kweli na si kwamba ukijua jambo ndio ukweli wenyewe huo. Inawezekana unayemjua wewe kuwa ni baba ako ila kikifanyika kipimo cha DNA ikaonyesha si baba ako mzazi ila ulikuwa unajua ni baba ako mzazi.

Kwahiyo hata jambo la imani pia kuna kujua bila kujali hicho unachokijua ndio ukweli ama sio ukweli, hivyo kuhusu kumjua Mungu ni kwamba watu wanamjua Mungu.

Ukiangalia suala zima la uwepo wa Mungu utaona kinachohitajika ni huko kukubali kuamini kuwepo kwake na kufuata maelekezo yake pasina kumuona, kwa sifa tunazoambiwa kuhusu Mungu basi ni wazi angetaka iwe anaonekana kama jua kila mtu anamuona basi angefanya.
 
Mkuu,
1. Kujua jambo ndio kupata ukweli wa jambo lenyewe, huwezi kujua jambo na ikawa vinginevyo. Ikiwa hujapata ukweli wa jambo ina maana wewe hujui kuhusu hilo jambo.

2. Unaambiwa sifa za Mungu na wakina nani?, na uliwezaje kuthibitisha uhalisia wa jambo walilokueleza kuwa ndio ujumbe wa Mungu kwako au hapa napo utaamua kuwaamini wajumbe. Ni vipi kama hao wajumbe wamechanganya na ajenda zao, unaweza kung'amua uhalisia wa ujumbe wa Mungu au utatumia imani tena?.

3. Kuhusu wazazi kama hakuna uthibitisho wa kibaiolojia kama vile mfanano wa sura, vipimo halisi vya DNA nk, basi huwa hatujui kama ni wazazi wetu halisi isipokuwa huwa tunaamini ndio wazazi waliotuzaa na si kujua.
 
Kujua hakuna mahusiano na ukweli, neno kujua lina maana yake bila kujali hicho unachokijua ni kweli ama si kweli.

Mfanano wa sura ndio uthibitisho? Hujawahi kuona watu waliyofanana sura ila hawana uhusiano wowote wa kindugu?
 
Du, basi endelea kuamini.
 
Issue ya Mungu ni very complicated, but existence ya binadamu na uhai Kwenye Sayari ya Dunia pekee (Hadi sasa hatujui, mahari popote kwenye Uhai) ni more complicated.

According to Science (I'm scientist too)
Dunia ina Miaka zaidi ya 4.5 billions ilichukua Miaka billion 3.5 dunia na condition za mwanzo zilizosababisha Maisha from simple cellular life.

Katika kipindi hiki, Dunia iligongana na Sayari inaitwa Theia ambayo Ndio chanzo Cha Dunia kuwa na Mwezi tunouona, Licha ya hii impact kuwa mbaya Lakini ilisababisha msingi muhimu wa upekee wa Dunia, Hili lilifanya Dunia kuwa tilt kwa nyuzi 23, pia ikasababisha core(kokwa la Dunia) kuzunguka kwa kasi sana, hii Ndio sababu Dunia ina strong Magnetic field ambayo inazuia Solar winds kufika ardhini na pia inasababisha atmosphere ya Dunia isipotee na hivyo maji kukakua(Maji Ndio msingi wa aina zote za Maisha Dunia).

Si kuwa tulipata hayo Mabadiliko Lakini pia tulipata mwezi ambao unachangia sana tabia ya nchi na vitu kama tidal waves

Hili tukio lilitokea kipindi Maji wala Maisha Bado hayajatokea Duniani.

Kumbuka Mars haina atmosphere na Usumaku kama wa Dunia na Ndio sababu ya maji yake yako chini ya ardhi na mengine yalipotea, but si asilimia impact kama ya Dunia na Theia inagarantee mabadiliko kama yalitokea kwa Dunia.

Jupiter, uwepo wa Jupiter umbali uliopo uanilinda sana Dunia dhidi ya Vimondo na Magimba mengine ambayo yangeigonga Dunia na kusababisha madhara kwa Dunia na binadamu, hakuna mpangilio mwingine kama huu kwenye Planetary Systems zingine.

Venus, Kwenye Solar System yetu kuna Sayari 4 ambazo zimeundwa kwa miamba ambazo zinaweza kuhifadhi maji na kuruhusu Maisha, but Dunia ni ya kipekee na yenye Bahati, why?
Mercury iko karibu sana na Jua na ni tidally locked (Upande mmoja tu Ndio unaiona Jua na upande mwingine always ni Giza) ukiachia joto ni Eneo dogo sana lingepata maji na kuwa na uhai, Venus Ndio Sayari yenye joto sana kwenye Solar system na inazunguka anti-clockwise, Licha ya hali yake Venus ilikuwa inafanana na Dunia kwa zaidi ya asilimia 90 na pengine ilikuwa na Maji na miti au some cellular life lakini ikagongana na Other body ikaisababishia hali iliyopo sana, Mars haina atmosphere, wala Usumaku na kokwa lake limeganda, hivyo maji wala atmosphere haiwezi kukata, But kwa upekee na Bahati Dunia imepona na kuwa kama ilivo Leo.

Jambo lingine la kipekee ni Extinction of dangerous Dinosaurs, baada ya miaka na miaka Solar system ikawa Stable na maisha yakatokea Duniani na viumbe wa aina tofauti wakatokea, Moja ya hao viumbe ni Dinosaur hawa walikuwa wakubwa na wanakula viumbe vidogo vidogo, kwa maana nyingine Maisha ya Binadamu na utashi wake usinge kuwepo kama Dinosaur wangeishi wakati mmoja na Binadamu, Lakini kwa upekee na maajabu Dunia ikaangukiwa na Kimondo ambacho kilisababisha Dinosaur kufa wakabaki ndege tu ambao Ndio chakula chetu.

Haya matukio ni ya kipekee na ya Bahati sana, huwa najiuliza kwanini Yalitokea kwa Dunia tu, hili swali hunifanya nijisemee inawezekana Mungu yuko, ila anavosemwa na Dini sio sahihi
Asante kwa shule, swali ni je maisha duniani yalianzaje baada ya hali kutulia.

Yaani viumbe e.g. dinosaurs walitokeaje?
 
Inawezekana Mungu yuko, ila anavosemwa na Dini sio sahihi
 
Du, basi endelea kuamini.
Unajua mkuu unaweza ukaona wewe una point za msingi sana na mimi ukaniona situmii akili zangu sawa sawa ila huwa napenda kusema siku zote hii ni mitazamo tu ndio maana tunaona atheists kama wewe ambao wamekuja kuwa waumini wa dini na wanaamini Mungu wakati mwanzo walikuwa wanasema Mungu hakuna kwa sababu hakuna uthibitisho.
 
Kwani Atheist akiamua kuamini Mungu yupo ndio kunafanya huyo Mungu awepo kweli?

Huyo Mungu ni nadharia na dhana ya kufikirika tu.

Mungu hayupo katika uhalisia ila katika mawazo ya kufikirika tu.
 
Inawezekana Mungu yuko, ila anavosemwa na Dini sio sahihi
Ukishasema " inawezekana" tayari Huna uhakika wala uthibitisho unafanya speculations na makisio tu.

Yani unakisia uwepo wa kisicho kuwepo kwenye uhalisia na unakiita Mungu..!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16]siwezi nikajifanya sielewi ,na hapa ndo chimbuko LA maswali hayo kwenye post , pia labda inawezekana mpaka Sasa kizazi cha Leo hatujajua Mungu anafikiwaje,japo binafsi naamini Mungu yupo ila usije sema nithibitishe ,siwezi kuthibitisha ila naamini Mungu yupo

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Yaani wewe kuamini mungu yupo haifanyi awepo au asiwepo kabisa hata kama kweli hayupo, kinachokufanya wewe uamini hivyo nikwasababu hauna majibu sahihi ya maswali yako, na ndio maana unatumia neno (Naamini) sio( Najua) ... sasa ninachotaka kushauri nikwamba sio lazima wala sio sahihi kuamini kila aina ya jibu kisa tu haujajua jibu sahihi la swali lako.
 
Mungu amemuua mwana wake wa pekee kumuokoa binadamu, ila Mungu huyo huyo mwenye nguvu ameshindwa kumuua Shetani
amuuwe the morning star ili iweje, Hakuna kiumbe ghali Yehova aliewahi umba kama lucifer
 
Inawezekana Mungu yuko, ila anavosemwa na Dini sio sahihi
Hakuna Sayari zaidi ya Dunia yenye Maisha hakuna Kiumbe popote hadi sasa zaidi ya Binadamu mwenye utashi kama huu wa kujadili mambo hivi.

Akili zote hizi za binadamu za kuwasha Umeme, viwanda, na kila kitu vinamiaka 600 tu hadi 700,

Magari na ndege zina Miaka chini ya 200, simu hizi tunazoshangaa zina Miaka 30 tu.

Binadamu sisi ni kama mchwa kwenye ukubwa wa Dunia, Dunia ni kama tone la mchanga ukilanginanisha na Jua letu, Jua ni tone la mchanga kwenye Galaxy yetu, Galaxy yetu ni tone la mchanga kwenye local zone ya Galaxies.

Binadamu ni viumbe wadogo na tusioweza kujakuzijua Siri za ulimwengu.

Ebu fikiria Mungu hayupo alafu imagine tu kwa Bahati mbaya hayo yote yalitokea
 
Kwani Atheist akiamua kuamini Mungu yupo ndio kunafanya huyo Mungu awepo kweli?

Huyo Mungu ni nadharia na dhana ya kufikirika tu.

Mungu hayupo katika uhalisia ila katika mawazo ya kufikirika tu.
Ndio nasema pamoja na hoja zenu hizo ila ajabu unakuta atheist anakubali kuamini Mungu, ndio nashangaa kuwa kama kweli atheists wanajua hakuna Mungu iweje tena tuje kuona wengineo waache huo msimamo na kuja kwenye kuamini kitu ambacho wanajua hakipo?

Jibu ni kwamba yapo yaliyowafikirisha.
 
Asante kwa shule, swali ni je maisha duniani yalianzaje baada ya hali kutulia.

Yaani viumbe e.g. dinosaurs walitokeaje?
Jibu langu ni Nadharia sio complete facts

Smallest block ya viumbe hai ni protein na baadhi ya Elements, na hizi zilitokea kwenye maeneo ya Dunia ambapo Geo biology activities zilikuwa active, sehemu nyingine kwenye Solar system yetu kuna hizo ni kwenye mwezi wa Saturn unaitwa Europa huwa kuna miamba inatoa mvuke au aina ya Kimiminika, but hadi sasa wachunguzi hawajaweza kuthibisha kama kuna any micro biology au any cellular life na itafananaje na hapa Duniani.

How life happens on Earth, Maji katika Kimiminika yalifikaje Duniani hakuna anayejua wala jibu sahihi, but yapo na tuna endelea kuenjoy
 
Hakuna Sayari zaidi ya Dunia yenye Maisha hakuna Kiumbe popote hadi sasa zaidi ya Binadamu mwenye utashi kama huu wa kujadili mambo hivi.

Akili zote hizi za binadamu za kuwasha Umeme, viwanda, na kila kitu vinamiaka 600 tu hadi 700,

Magari na ndege zina Miaka chini ya 200, simu hizi tunazoshangaa zina Miaka 30 tu.

Binadamu sisi ni kama mchwa kwenye ukubwa wa Dunia, Dunia ni kama tone la mchanga ukilanginanisha na Jua letu, Jua ni tone la mchanga kwenye Galaxy yetu, Galaxy yetu ni tone la mchanga kwenye local zone ya Galaxies.

Binadamu ni viumbe wadogo na tusioweza kujakuzijua Siri za ulimwengu.

Ebu fikiria Mungu hayupo alafu imagine tu kwa Bahati mbaya hayo yote yalitokea
Na huyo Mungu alitokea tu from no where?
 
Back
Top Bottom