Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

asa nitaamini vp habari ambazo napewa na watu ambao nawao hawazijui vizuri.?
Ishu sio hizo habari unazopewa hawazijui vizuri bali hapa kuna ishu ya uwepo wa maswali ya ziada kuhusu Mungu ambayo unataka ujibiwe, na ni maswali ambayo hayazuii wewe kuelewa na kuamini hizo habari unazopewa na hao watu.
 
Ishu sio hizo habari unazopewa hawazijui vizuri bali hapa kuna ishu ya uwepo wa maswali ya ziada kuhusu Mungu ambayo unataka ujibiwe, na ni maswali ambayo hayazuii wewe kuelewa na kuamini hizo habari unazopewa na hao watu.
inazuia
 
😂 asa me naamini vp hadithi ambazo sijui katunga nani na anania gani.?
Sasa hayo unamuuliza nani? Nachojua mimi imani hailazimishwi ni vile ukiona umeshawishika nayo unaamini na ukiona hujashawishika hujaelewa unaachanayo nayo. Kama mfumo wako wewe umejiwekea kwamba ili uamini kitu lazima umjue aliyebuni na lengo lake mbona kuna imani nyingi tu ambazo waanzilishi wake wanajulikana na malengo yao hadi historia zao za maisha.

Mambo ni simple tu ila mnayafanya kuwa magumu.
 
Nimekuwa nikikutana na maswali mbalimbali kuhusu dini au Mungu mfano

Niliwahi kuulizwa matendo mema yaliumbwa na nani nikajibu Mungu aliumba mema. Nikaulizwa tena mabaya yaliumbwa na nani nikakosa jibu.

Jamaa akaniambia Mungu wako aliumba mema na mabaya na akakuumba binadamu dhaifu na ukifanya mabaya au kumchagua shetani unapelekwa motoni . Swali ni je ikiwa unajua binadamu ni dhaifu kwanini umuwekee ujuzi wa mabaya na akikosea aende motoni kwanini mabaya yasiondolewe binadamu abaki na ujuzi wa mema au kwanini akimchagua shetani umchome moto...

Kingine Kwa msisitizo, KAMA MUNGU ANAJUA YA MBELE (KUWA ADAMU ATAASI)au SHETANI ATAASI KULIKUWA NA HAJA GANI KUJISUMBUA KUUMBA DUNIA MPAKA AKACHOKA NA KUPUMZIKA. UNGEKUWA WEWE UNGEJENGA NYUMBA AMBAYO UNAJUA KESHO INAENDA KUBOMOKA? MAMBO MENGINE TUSIWEKE UGUMU KUELEWA.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ni mawazo tu yameundwa na watu, ufufuko ni fix, hakuna Mungu wa kweli anaeweza kumtoa mwanae kafara. Mungu wangu namjua kwenye moyo wangu, mtu asinifundishe jinsi ya kuomba halafu unidai fungu la kumi.
 
Back
Top Bottom