Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
Afande teremsha bunduki,
Unawatetea mbona hawakukumbuki,
Unatuonea, unatupiga Mabuti,
Mara virungu, mara unataka kutushuti,
Afande teremshaa! Hai! Hai hai!
Afande teremsha bunduki! Hai hai!
Afande teremshaa! Hai! Hai hai!
Afande teremsha bunduki! Hai hai!
Afande teremshaa! Hai! Hai hai!
Afande teremsha bunduki! Hai hai!
Afande teremshaa! Hai! Hai hai!
Afande teremsha bunduki! Hai hai!
Stanza One
Anayeandamana, hana sindano wala kiwembe/
So kumuua muandamaji sio ushujaa huoni uzembe/
Mnabeba silaha nzito akili zenu zisiwe nyepesi/
Jeshi ni wito sio muujiza wa kupuliza gesi/
Nyie mnavunja amani/
Mnapiga Raia mahakamani/
Mwisho wapoteze Imani/
Waamue kumalizana mtaani/
Hamuheshimu muhimili/
Nyie makatili/
Hamna maadili/
Hamstahili Injili/
Labda albadili/
Tena alfajiri/
Wanaofaidika bosi zenu sio nyie askari wa chini/
Kwa posho ndogo mnatumwa mtupige sasa kwanini?/
Yaani unamuua anayepambania kesho bora ya mwanao/
Huku unamlinda anayekuibia na ukistaafu hakupi mafao/
Watoto wao wana mali/
Wanaendesha Bugatti Ferrari/
W’e askari njaa kali/
Unadaiwa kwa Mangi sukari/
Na hauna gari tu unagombea mwendokasi hatari/
Tukidai mabasi unapiga risasi/
W’e ndio muasi/
CHORUS
Afande teremshaa! Hai! Hai hai!
Afande teremsha bunduki! Hai hai!
Afande teremshaa! Hai! Hai hai!
Afande teremsha bunduki! Hai hai!
Afande teremshaa! Hai! Hai hai!
Afande teremsha bunduki! Hai hai!
Afande teremshaa! Hai! Hai hai!
Afande teremsha bunduki! Hai hai!
STANZA 2
Unayemuona adui unampiga ndio anayekulipa mshahara/
Ndio Mwalimu wa mwanao, ndio nesi aliyekufanyia tohara/
Ungana nasi hizo bunduki sio za kumlinda mtawala/
Anayetuibia na kututeka huku akihubiri four R/
Tuna-jobless laki tano, anaahidi ajira elfu 7/
Na mnashingilia Oktoba mtatiki, mtapigwa mnada/
Kama ameshindwa miaka minne ndio ataweza siku mia/
Kafeli bima, mnadanganywa kitoto nawahurumia/
Hawaheshimu hata wajumbe ndio chanzo cha hizi vurugu/
Maana wanapitisha wabunge ambao wanaweza kuwamudu/
Tusiruhusu huu uchaguzi ni uchafuzi, na ulanguzi wa kipuuzi/
Mashuzi, wamelose fuse, wamekata pumzi/
Chorus