Nape ulaaniwe na baba yako aliye kaburini , akulaani ufe kibuduHizi hapa Dalili za kwamba DP world na mengine ni madili haramu
1. Hakuna ufafanuzi wowote unaojibu hoja kwanini magufuli aliikataa DP world baada ya kifo chake sasa inapokelewa
2. Enzi za magufuli aliwahi kusema, wazee wastaafu waache viherehere vya kuishauri ikulu je waliacha?
3. DP world kama inayofaida tunahara ya nini kuipitisha haraka haraka?
4. Kwanini nguvu kubwa imetumika kuwapanga waandishi wa habari ili hali kama jambo ni la kheri?
5. Nani atalipa ule mkopo uliokopwa kuendeleza bandari wakati huo bandari itachukuliwa na kuendelezwa na DP world?
6. Kuna ubaya gani mkataba ukitaja muda angalau wa miaka kumi kumi ili Rais mwingine anapoingia madarakani aweze kuboresha au kuondoa?
7. Kitu gani kimewatia upofu wabunge hadi waamini wanaokosoa waonekane wanapotosha?
8. Bajeti ya kuwahamisha wa masai loliondo alitoa nani na mkataba wa muwekezaji kule unasemaje?
9. Ile ndege kubwa ya mizigo KIA mwaka jana ni kweli ilileta mabegi ya wataliii?
10. Kama gas ipo, kwanini serikali haitoi vibari kuwepo Gas station za kutosha hadi mikoani (nani anafaidika na soko la mafuta haya yanayopanda bei kwa kisingizio cha vita na kuzuia kujengwa vituo vingi vya gas?)
11. Inadaiwa hata michango ya wabunge kupitisha DP world walichangia kwa kupangwa! Akiwemo Halima mdee ambaye alipangwa kusema vile kimchongo ili spika apenyeze ufafanuzi!
Bwawa la mwl nyerere likijaa majimradi wa mto msimbazi unaanza lini?
Mbona ulisha kamilika...🙄mradi wa mto msimbazi unaanza lini?
Serikali ina mengi, lakini kuna haja ya katiba mpya, inabidi kubadilishwe mfumo wa utawala kwani Rais ananguvu sana kwenye mihimili mingine.Hizi hapa Dalili za kwamba DP world na mengine ni madili haramu
1. Hakuna ufafanuzi wowote unaojibu hoja kwanini magufuli aliikataa DP world baada ya kifo chake sasa inapokelewa
2. Enzi za magufuli aliwahi kusema, wazee wastaafu waache viherehere vya kuishauri ikulu je waliacha?
3. DP world kama inayofaida tunahara ya nini kuipitisha haraka haraka?
4. Kwanini nguvu kubwa imetumika kuwapanga waandishi wa habari ili hali kama jambo ni la kheri?
5. Nani atalipa ule mkopo uliokopwa kuendeleza bandari wakati huo bandari itachukuliwa na kuendelezwa na DP world?
6. Kuna ubaya gani mkataba ukitaja muda angalau wa miaka kumi kumi ili Rais mwingine anapoingia madarakani aweze kuboresha au kuondoa?
7. Kitu gani kimewatia upofu wabunge hadi waamini wanaokosoa waonekane wanapotosha?
8. Bajeti ya kuwahamisha wa masai loliondo alitoa nani na mkataba wa muwekezaji kule unasemaje?
9. Ile ndege kubwa ya mizigo KIA mwaka jana ni kweli ilileta mabegi ya wataliii?
10. Kama gas ipo, kwanini serikali haitoi vibari kuwepo Gas station za kutosha hadi mikoani (nani anafaidika na soko la mafuta haya yanayopanda bei kwa kisingizio cha vita na kuzuia kujengwa vituo vingi vya gas?)
11. Inadaiwa hata michango ya wabunge kupitisha DP world walichangia kwa kupangwa! Akiwemo Halima mdee ambaye alipangwa kusema vile kimchongo ili spika apenyeze ufafanuzi!
Una hoja nzito sana kuweza kushughulikiwa na kizazi hiki cha blue band.Hizi hapa Dalili za kwamba DP world na mengine ni madili haramu
1. Hakuna ufafanuzi wowote unaojibu hoja kwanini magufuli aliikataa DP world baada ya kifo chake sasa inapokelewa
2. Enzi za magufuli aliwahi kusema, wazee wastaafu waache viherehere vya kuishauri ikulu je waliacha?
3. DP world kama inayofaida tunahara ya nini kuipitisha haraka haraka?
4. Kwanini nguvu kubwa imetumika kuwapanga waandishi wa habari ili hali kama jambo ni la kheri?
5. Nani atalipa ule mkopo uliokopwa kuendeleza bandari wakati huo bandari itachukuliwa na kuendelezwa na DP world?
6. Kuna ubaya gani mkataba ukitaja muda angalau wa miaka kumi kumi ili Rais mwingine anapoingia madarakani aweze kuboresha au kuondoa?
7. Kitu gani kimewatia upofu wabunge hadi waamini wanaokosoa waonekane wanapotosha?
8. Bajeti ya kuwahamisha wa masai loliondo alitoa nani na mkataba wa muwekezaji kule unasemaje?
9. Ile ndege kubwa ya mizigo KIA mwaka jana ni kweli ilileta mabegi ya wataliii?
10. Kama gas ipo, kwanini serikali haitoi vibari kuwepo Gas station za kutosha hadi mikoani (nani anafaidika na soko la mafuta haya yanayopanda bei kwa kisingizio cha vita na kuzuia kujengwa vituo vingi vya gas?)
11. Inadaiwa hata michango ya wabunge kupitisha DP world walichangia kwa kupangwa! Akiwemo Halima mdee ambaye alipangwa kusema vile kimchongo ili spika apenyeze ufafanuzi!
Bandari zote zimewekewa 'posa'. Hakuna kidume kusogelea mali ya 'tajiri DP'Watanzania watu wa ajabu,kulalama humu after few days hii nayo itakua ni cold 🥶 case,bila Street battles hizi royal families zitawaburuza sana, viajira vya TRA vimetoka huko
Wewe kwani mmarekani mwenzetu mbona hatukuoni kuanzaWatanzania watu wa ajabu,kulalama humu after few days hii nayo itakua ni cold 🥶 case,bila Street battles hizi royal families zitawaburuza sana, viajira vya TRA vimetoka huko
anatuzingua kinoma.mkopo kachukua mradi hajaanza.na watu tumekatazwa kuendeleza maeneoBwawa la mwl nyerere likijaa maji
Mkataba mzuri kwa nan? Maana kula mkataba huwa mzuri lakini inategemea unautizama ukiwa upande gani!Mnaandamana kwenye keyboard NENDENI barabarani.
HAMUONI WAKENYA?????????
Hongera DP world hongera samia.
Nimepata UFAFANUZI wa Mwana sheria kumbe ni MKATABA mzuri kabisa.
WANASIASA WA upinzani ni WAONGO SANA..
Ukiweza soma comments zangu zote humu, silalami humu maana mimi ni mtu wa push back, sijawahi kutokupigania haki yangu, ushujaa wa humu ni craze,real fighters wanafanya street battlesWewe kwani mmarekani mwenzetu mbona hatukuoni kuanza
Nchi hii siyo mali ya Magufuli na Mungu kumchukua ana makusudi yake aliona tutaumia na kutaka atawale bila kikomoHizi hapa Dalili za kwamba DP world na mengine ni madili haramu
1. Hakuna ufafanuzi wowote unaojibu hoja kwanini magufuli aliikataa DP world baada ya kifo chake sasa inapokelewa
2. Enzi za magufuli aliwahi kusema, wazee wastaafu waache viherehere vya kuishauri ikulu je waliacha?
3. DP world kama inayofaida tunahara ya nini kuipitisha haraka haraka?
4. Kwanini nguvu kubwa imetumika kuwapanga waandishi wa habari ili hali kama jambo ni la kheri?
5. Nani atalipa ule mkopo uliokopwa kuendeleza bandari wakati huo bandari itachukuliwa na kuendelezwa na DP world?
6. Kuna ubaya gani mkataba ukitaja muda angalau wa miaka kumi kumi ili Rais mwingine anapoingia madarakani aweze kuboresha au kuondoa?
7. Kitu gani kimewatia upofu wabunge hadi waamini wanaokosoa waonekane wanapotosha?
8. Bajeti ya kuwahamisha wa masai loliondo alitoa nani na mkataba wa muwekezaji kule unasemaje?
9. Ile ndege kubwa ya mizigo KIA mwaka jana ni kweli ilileta mabegi ya wataliii?
10. Kama gas ipo, kwanini serikali haitoi vibari kuwepo Gas station za kutosha hadi mikoani (nani anafaidika na soko la mafuta haya yanayopanda bei kwa kisingizio cha vita na kuzuia kujengwa vituo vingi vya gas?)
11. Inadaiwa hata michango ya wabunge kupitisha DP world walichangia kwa kupangwa! Akiwemo Halima mdee ambaye alipangwa kusema vile kimchongo ili spika apenyeze ufafanuzi!
DuhUkiweza soma comments zangu zote humu, silalami humu maana mimi ni mtu wa push back, sijawahi kutokupigania haki yangu, ushujaa wa humu ni craze,real fighters wanafanya street battles