Jandaruma
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 527
- 480
Huyo scams ndo niniYes lakini ukiweka account uclaim hela hawakupi, wanachukua info zako kama email, jiina na account namba zinatumika kwenye scams,,,,huu utapeli ulikua unaongozwa nawatu wanajiota qmoneyclub, usipoteze muda wako boss.
Usipoteze muda wako ni scam hakuna ela rahisi hivyoWakuu naomba msaada wenu kwa wale walio familiar na hii kitu.
Leo nimetumiwa link flani nikaingia nikakuta ni issue ya matangazo yani the way unavyoview matangazo yao wanakulipa sasa naomba kuuliza hii kitu INA ukweli na je kuna aliefanya akalipwa naombeni msaada
Ngoja niitafte link niiweke hapa
WAo wanafaidika nini sasaYes lakini ukiweka account uclaim hela hawakupi, wanachukua info zako kama email, jiina na account namba zinatumika kwenye scams,,,,huu utapeli ulikua unaongozwa nawatu wanajiota qmoneyclub, usipoteze muda wako boss.
Scam hutoweza kutoa hiyo ela.Mkuu wanasema nikifikisha dola 150 naweza kuwithraw sema njia zilizowekwa ndo zinanipa utata
Wanafaidika kwa kupata watu wajinga wajinga watakaotoa ela kulipia referrals, na info za bank acc watakazotumia kwenye scam nyingineWAo wanafaidika nini sasa
Ni afadhali uulize ni kwa jinsi gani pesa ulizotengeneza utazipata, kuliko kujifanya unajua wakati haujui.Siokweli ela utamake in numbers lakini huwezi kamwe kuzidraw kiufupi ni wezi, maana hutakaa uweze kuzitumia
Eti timu magomeni mapipaAngalia tu usije pia ukashawishika na ukatoa pia na uvungu wako / banda la uani kabisa hatimaye nawe ukaja kuwa Team Magomeni Mapipa.
Hongera mkuu we unajua sana!Ni afadhali uulize ni kwa jinsi gani pesa ulizotengeneza utazipata, kuliko kujifanya unajua wakati haujui.
Watanzania tunakuwa nyuma kwa ajili ya kukosa uelewa lakini tunajifanya kuwa tunaelewa. Ukweli ni kwamba ili pesa hizo uzipate zipo njia nyingi. Moja wapo ni kuwa na electronic wallet ambayo utaidownload kama application kwenye play store. Hapo pia inatakiwa uelewa. Ziko electronic wallet za namna nyingi na za matumizi mbalimbaliu, Zipo ambazo zinatambulika kimataifa na zinapokea na kutuma electronic money kama bitcoins, au kama dollas nk. Kwa hiyo ukitaka kuzidai lazima uwe na hiyo electronic wallet na wanakuingizia bila shida. Lakini pia ukiwa na Master card za benki unaingiziwa bila shida. Unaweza kuzitumia pesa hizi kununulia bidhaa kokote ulimwenguni kama vile kuagizia magari au bidhaaa mbalimbali. Watu wanaumizwa na D9 halafu wanashindwa kufanyakazi mitandaoni ambapo gharama yako ni muda na uelewa tu. HUlipi chochote zaidi ya bando lako. Badala ya kuendekeza udaku instagram, unaweza kufanyakazi mtandaoni na kujipatia pesa nzuri. Ona wenzenu hapa wanashangilia kula madola:
Alex Schultz I’ve got the money!! Didn’t expect that !!!. I’ve got $3800!
20 dollars turned to 3820)))), I’ve just got a message from the bank.
I'm surprised. No words to describe my happiness.
But from where do these large amounts come from and how long will such generosity last?
Review added 22.09.2017 12:36
Administration: Hello, Alex!
We have exclusive contracts with advertisers.
We plan to work for a very long time)), you’ll have orders, at least for the next year.
Changamkieni hiyo link na haulipi chochote!
Hapo ndipo tunapokosea. Hatusemi hiyo kazi ya kuwezesha matangazo kwenye mtandao itakufanya uwe tajiri. Lakini ni Mara mia kuliko kutumia mtandao kwa kuendekeza udaku na umbea.Wapo wanaolipa na wapo wasiolipa. Neobux na Clicksense wanalipa ukitazama matangazo. Hata hivyo, huwezi kuwa tajiri au kutengeza pesa ya kueleweka kwa sababu ya masharti magumu waliyonayo. Pia, kuna idadi ya utazamaji wa matangazo kwa siku na huwezi kupata zaidi ya dola 0.02 labda uwe na 'referal'. Kwa kazi hii bora ushike jembe ukailime nchi!