Hizo t-shirt unazipataNaombeni msaada
SokoniTandale sehemu gani
Ni hizo zenye hio rangi tuWapi mkuu
T/shirt ni nzurii Sana Ila ukivaa OVYO ovyo unaweza vutia watekaji.Naombeni msaada wenu hizi t shirt hapa dar nazipata wapi na zinauzwa Bei Gani
Upo sahihi mkuu hiyo kwa Hali ya Sasa sio ya kuvaa ovyo ovyo unaweza kuuwawa maana binadamu wa CCM na SERIKALI yake wamekua kuwa wanyamaUkivaa hiyo jiandae kutekwa.
Sawa nunua vaaa Ila nakushaurii ANDIKA WOSIA KABISA KABISA 😊☺️Halba wa kuniteka mimi