Hizi dawa za kuongeza uanaume zinapatikana wapi hapa Tanzania?

Nihilist

JF-Expert Member
Jun 11, 2022
226
353
Wasalaam wana jamii forums,

Ni muda tena natokea hapa jukwaani jioni ya leo nikiwa na shauku la kupata mwanga kuhusu upatikanaji wa dawa hizi za kuongeza ukakamavu kama mwanaume, kwani bila dawa hizi naweza kupatwa na mapungufu haya..

-Kuchoka mara kwa mara atakama sijafanya kazi yeyote..(fatigue). ata kama ni asubuhi,
-kuwa na msongo wa mawazo bila kuwa na ukomo.
-Kushindwa kumfikisha shemeji yenu kileleni (Baada ya kimoja chali,(ananilalamikia nina muhurumia)
-Kuwa na hasira kali za bila kujizuia.
-Kukonda kupita kiasi na uzito upo chini ya mfuko mmoja wa cement na nina zaidi ya miaka 40.

Kwa kifupi nina upungufu wa "Testosterone" ,tatizo hili linakuja baada ya kukosa Testes (Both testacles)...

Matibabu ya muda wote nimesoma mitandaoni na nimeona yapo yaani (Testosterone Replacement Therapy (TRT) na yana namna tatu:-

-Gel (TRT). mafuta ya kujipaka
-Pills,oral (TRT)-Vidonge vya kumeza.
-Injection (TRT)-Sindano.

Swali katika pita pita zangu kwenye maduka ya madawa (pharmacy), nimekutana na dawa za sindano ila hizi zina kera kuchomwa sindano kila mwezi kwa kweli hainifurahishi, nimeulizia mafuta (gel) wamesema hawana,

Swali la msingi,

Ni duka gani naweza kupata hizi gel (TRT) mkoa wowote hapa Tanzania.?. mimi nipo Dodoma kikazi,

Natanguliza shukrani zenu wanajf asante.
 
Kwa ufafanuzi zaidi pitia hapa..

Jamani marekebisho kidogo "Natafuta dawa itakayochukua nafasi ya korodani" siyo dawa za kuongeza nguvu za kufanya mapenzi tu.

Kama hukuelewa tafuta pahala palipo elezea umuhimu wa korodani utanielewa.

Maana nimeona watz wengi hawalifahamu hili tatizo wanawazia dawa za kuongeza nguvu za kufanya mapenzi tu.
 
Attachments

  • Screenshot_20230315-194149.png
    Screenshot_20230315-194149.png
    55.4 KB · Views: 60
Wasalaam wana jamii forums,

Ni muda tena natokea hapa jukwaani jioni ya leo nikiwa na shauku la kupata mwanga kuhusu upatikanaji wa dawa hizi za kuongeza ukakamavu kama mwanaume, kwani bila dawa hizi naweza kupatwa na mapungufu haya..

-Kuchoka mara kwa mara atakama sijafanya kazi yeyote..(fatigue). ata kama ni asubuhi,
-kuwa na msongo wa mawazo bila kuwa na ukomo.
-Kushindwa kumfikisha shemeji yenu kileleni (Baada ya kimoja chali,(ananilalamikia nina muhurumia)
-Kuwa na hasira kali za bila kujizuia.
-Kukonda kupita kiasi na uzito upo chini ya mfuko mmoja wa cement na nina zaidi ya miaka 40.

Kwa kifupi nina upungufu wa "Testosterone" ,tatizo hili linakuja baada ya kukosa Testes (Both testacles)...

Matibabu ya muda wote nimesoma mitandaoni na nimeona yapo yaani (Testosterone Replacement Therapy (TRT) na yana namna tatu:-

-Gel (TRT). mafuta ya kujipaka
-Pills,oral (TRT)-Vidonge vya kumeza.
-Injection (TRT)-Sindano.

Swali katika pita pita zangu kwenye maduka ya madawa (pharmacy), nimekutana na dawa za sindano ila hizi zina kera kuchomwa sindano kila mwezi kwa kweli hainifurahishi, nimeulizia mafuta (gel) wamesema hawana,

Swali la msingi,

Ni duka gani naweza kupata hizi gel (TRT) mkoa wowote hapa Tanzania.?. mimi nipo Dodoma kikazi,

Natanguliza shukrani zenu wanajf asante.

Haya mambo buana
 
Hauna korodani ? Hauna watoto? Hauna nguvu za kiume? Pole sana ndugu yangu.
Fanya hivi pima shinikizo la damu,pima sukari fanya vipimo vyote vya moyo echo na ecg,majibu yakiwa vizuri nenda pharmacy nunua VEGA au TADALAFIL hizo dawa shughuli yake sio ya kitoto.
NB:kama kweli hauna korodani hizo testosterone supplements hazina maana
 
Aisee pole sana. Ila unauhakika ni tatzo la testestorone? Inawezekana ikawa inachangiwa na vitu vyengine. Labda mahusiano mabovu na mkeo, au kukosa pesa au kile unachokipenda kukosa. Kwa hayo maelezo yako nilivyosema vinahusiana sana. Usikurupuke kunywa dawa nenda hospital kwanza
 
Hauna korodani ? Hauna watoto? Hauna nguvu za kiume? Pole sana ndugu yangu.
Fanya hivi pima shinikizo la dawa,pima sukari fanya vipimo vyote vya moyo echo na ecg,majibu yakiwa vizuri nenda pharmacy nunua VEGA au TADALAFIL hizo dawa shughuli yake sio ya kitoto
Vipi hizo dawa ni za vidonge na vipi matumizi yake ni ya baada ya kipindi gani (samahani kwa maswali mengi)
 
Aisee pole sana. Ila unauhakika ni tatzo la testestorone? Inawezekana ikawa inachangiwa na vitu vyengine. Labda mahusiano mabovu na mkeo, au kukosa pesa au kile unachokipenda kukosa. Kwa hayo maelezo yako nilivyosema vinahusiana sana. Usikurupuke kunywa dawa nenda hospital kwanza
Sina korodani na hilo tatizo linafahamika hospitalini na wao ndiyo wa kwanza kunipatia dawa ya kuchoma (injection) ila inachosha eti
 
Zingatia nachoandika hapa utakuja kunishukuru. Fanya mazoezi ya mwili ya kukimbia,kuruka kamba,kuogelea,kuendesha baiskeli,kupanda milima n.k...kula vyakula vinavyoongeza sexual drive matunda kama tikiti,nanasi,ndizi na tende,tumia chai yenye tangawizi na mdalasini..Tumia sea food aina ya pweza na ngisi. Ingiza hivyo vitu kwenye utaratibu wako wa maisha ya kila siku. Siku ukiwa na mechi tengeneza juisi yenye mchanganyiko wa matunda hayo na viungo nilivyotaja.
 
Back
Top Bottom