Hizi camera/make up zitawamaliza dada zetu | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi camera/make up zitawamaliza dada zetu

Discussion in 'Urembo, Mitindo na Utanashati' started by kajojo, Jan 9, 2017.

 1. kajojo

  kajojo JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2017
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 872
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 80
  Nashindwa kuelewa either ni kutaka kuonekana wazuri mbele ya jamii au nini. Wakati kwenye maisha halisi ni tofauti kabisa.
  Yaani imefikia point watu hawajikubali jinsi walivyo mpaka wajichubue wengine kuji edit ndo waweke picha zao kwenye mitandao.

  Ijulikane kwamba tunaishi kwenye jamii ya watu wale wale tunao watumia picha za mtandao sasa siku mkikumbuna laivu inakua tafrani.

  1483962130833.jpg 1483962137311.jpg 1483962141844.jpg
   
 2. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #21
  Jan 9, 2017
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,065
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  Wa Kwanza Walai Ukimuweka Dukani Asipocheka Wala Kutikisa macho Unajua yale Ma-midoli ya Dukani
   
 3. Heaven Sent

  Heaven Sent JF-Expert Member

  #22
  Jan 10, 2017
  Joined: Sep 27, 2013
  Messages: 13,786
  Likes Received: 14,052
  Trophy Points: 280
  Kweli jamani, kama mdoli eti
   
 4. Super women 2

  Super women 2 JF-Expert Member

  #23
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 16, 2016
  Messages: 1,376
  Likes Received: 1,283
  Trophy Points: 280
  Huyu dogo namjua vizuri. Vip tena
   
 5. Tabrett

  Tabrett JF-Expert Member

  #24
  Jan 12, 2017
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 417
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Sijui kama anataarifa kua kaanikwa huku
   
 6. Smart911

  Smart911 JF-Expert Member

  #25
  Jan 12, 2017
  Joined: Jan 3, 2014
  Messages: 8,924
  Likes Received: 4,514
  Trophy Points: 280
  Wanawake wanaojichubua wananuka jasho baya...
   
 7. Mtetezi wenu

  Mtetezi wenu Member

  #26
  Jan 12, 2017
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 40
  Huyo wa kwanza ni mke wa said fella
   
 8. Fulangenge

  Fulangenge Member

  #27
  Jan 12, 2017
  Joined: Dec 20, 2016
  Messages: 30
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  [​IMG] Ni shidaa
   
 9. Wamjengoni

  Wamjengoni JF-Expert Member

  #28
  Jan 12, 2017
  Joined: Mar 22, 2016
  Messages: 240
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  Unajuaje? Labda kaamua kaziweka mwenyewe!
   
 10. Tabrett

  Tabrett JF-Expert Member

  #29
  Jan 12, 2017
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 417
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Na kweli huwezi jua bwana!
   
Loading...