Hawa wake zetu ni shida

Yuyo Ahumile Shamalendi

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
993
782
Habari za weekend wana Jf, natumai muwazima, niende moja kwa moja kwenye mada.

Kama kichwa cha habari kinavojieleza, kuna jirani yangu hapa karibu ana mke na watoto watatu, mke wake hua anapenda kutukana watoto wake wakikosea, utakuta anawaambia mbwa nyie, mafisi nyie na mengineyo mengi.

Sasa mi hua nasema huyu mwanamke anawatukanaje hawa watoto wakati aliewazaa ni ye mwenyewe na si hao mbwa, punda au fisi anaowataja.

Kumbe wanasema usimtukane mamba kabla hujavuka mto, leo asubuhi mama watoto alikua anamlisha mtoto uji, sasa dogo akawa anazingua, mamaake akamwambia wewe mbona msumbufu hivo, ivi we mtoto wewe kabila gani wewe haya makabila hayafai kabisa! na hii ni mara ya pili namsikia anaongea hivo, nikasema akirudia tu kuongea hivo nitamuuliza jambo.

Wakati anaendelea kumlisha uji dogo akawa anaendelea kuzingua akamwambia tena 'we mtoto kabila gani mbegu zingine hazifai hizi' nikasema ngoja leo nimtolee uvivu, nikamwambia mama Johson nikuulize kitu, akajibu uliza tu, nikamwambia hivi kwani wewe ulilala na mwanaume kabila gani mpaka akazaliwa huyo mtoto, hajanijibu kanuna huyo.

Sasa naomba wadau mnisaidie huenda nikawa nimefukua makaburi nini? au inakuwaje maana siku ya leo kanuna vibaya.

Nawasilisha.
 
Baba Johnson
hivi viumbe vilipewa jina Hawa it means HAWA ELEWEKI na pia HAWA SOMEKI
just relax tu
 
Back
Top Bottom