Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,798
- 31,810
Sheikh Ibrahim,
Salim Msoma hajaelezea mambo yalivyokuwa kisawasawa.
Kundi la vijana waliopata mafunzo Misri haikuwa makusudio ya Misri wala ya viongozi wa Hizbu kumuondoa mfalme.
Makusudio yalikuwa ni kujitayarisha kupambana na Mkoloni kwa mabavu ikiwa njia za salama hazileti faida.
Katika waliopata mafunzo ya kijeshi Misri na amewataja Msoma, majina yao ni haya:
Salim Ali Ahmed Riyami
Nasor Isa Barwani
Ahmed Suleiman Riyami
Nasor Mohamed Miskiri
Hawa wote hawajapata kuwa na fikra za kumpindua mfalme hata siku moja.
Bali walikuwa dhidi ya makomred mpaka mwisho.
Kwa hakika Ahmed Suleiman kauliwa siku ya mavamizi na aliyemuuwa ni Amor Dugheshi.
Ameuliwa pamoja na Muhsin na Suleiman Badar.
Waliobakia wakitafutwa na makomred siku ya mapinduzi lakini kwa bahati yao hawakupatikana mpaka wakafika Raha Leo na Mola akawanusuru roho zao.
Ama nia ya Babu kuwapeleka vijana Cuba siijui.
Sitaki kuelezea chochote kuhusu hili kwani kwa upande wangu itakuwa ni dhana tu.
Washukran,