Hivi zile boda boda huwa zinaenda wapi..?

Executor

JF-Expert Member
Sep 29, 2014
867
990
Habari....

Kama kichwa cha habari kinavyouliza, nimepita katika vituo vya police vingi sana na kukutana na mlundikano mkubwa wa boda boda zilizopata ajari, zingine sijui ni za kesi za wizi...!!!

Sasa swali langu hizi boda boda hukaa katika hivi vituo vya police kwa muda gani..? Na kama kesi zake hazijashughulikiwa hukaa hupelekwa wapi au ndo kujibinafsisha..?

Shukrani...
 
Wewe subiri mnada utapata hata kwa laki moja!
 
Huwa kuna mda zinapigwa mnada mi mwaka huu mwezi wa 4 nilinunua boda boda 4 boxer kwa laki nne nne kila moja tena nikapewa na form maalum kuwa nimenunua polisi mnadani tena nilifangia marekebisho kidogo sana huwezi amini zote service ilinikost laki 6 tuu saa hivi ni mpya zote nakula hesabu
Habari....

Kama kichwa cha habari kinavyouliza, nimepita katika vituo vya police vingi sana na kukutana na mlundikano mkubwa wa boda boda zilizopata ajari, zingine sijui ni za kesi za wizi...!!!

Sasa swali langu hizi boda boda hukaa katika hivi vituo vya police kwa muda gani..? Na kama kesi zake hazijashughulikiwa hukaa hupelekwa wapi au ndo kujibinafsisha..?

Shukrani...
 
Duh!
Kumbeee, hii fursa aseee wacha niikodolee macho...
Huwa kuna mda zinapigwa mnada mi mwaka huu mwezi wa 4 nilinunua boda boda 4 boxer kwa laki nne nne kila moja tena nikapewa na form maalum kuwa nimenunua polisi mnadani tena nilifangia marekebisho kidogo sana huwezi amini zote service ilinikost laki 6 tuu saa hivi ni mpya zote nakula hesabu
 
Nyingine huwa ukitaka spare pale unachonga na wale wenye zamu pale usiku unaweza badilishiwa hata tyre au site mirow au taa ya mbele complete ana hata block yaani wewe tuu
tatz pikpik zao hazinivutii... kungekuwa na KX au KTM au CRF 450...... ningefanya namna........
 
Hapana zinazouzwa ni zile ambazo unakuta labda dereva alikufa na ajali alafu wenyewe hakujitokeza au zilishikwa kwenye tukio la wizi au wakati mwingine waliszishika zimeibiwa mhisika kakimbia

Back
Top Bottom