aleesha
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 776
- 1,121
Kutokana na kutokujielewa kwa Viongozi wengi wanaojiita ni Wazanzibari na wafuasi wengi hususan wa Chama Tawala (CCM) upande wa Zanzibar juu ya nyimbo wanayoimbishwa na Wasakatonge ya (ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA!!) pasi na kutotaka kujiongeza kwa kujua MUAFRIKA ni nani??? na MZANZIBARI ni nani???
Kumeibuka wimbi kubwa la watu kutoka mataifa mbali mbali kuvamia visiwani Zanzibar na kujiita ni Wazanzibari kwasababu tu ya kauli mbiu ya kisiasa ya wadumisha Muungano inayosema (ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA) kauli mbiu ambayo inatoa Uhalali wa wageni toka nchi jirani na Zanzibar kujitwalia mambo yaliyokua yanawastahiki Wazanzibari Asili (sio wakaazi) kukosa;-
-Fursa zao ktk Taifa lao mama
-Haki zao za msingi
-Uhuru wao ktk Taifa lao mama la Asili
-Haki zao stahiki kwenye Taifa lao
-Maamuzi ya kitaifa na kiraiya pamoja na kiuongozi
Na mengi mengineyo......
Ni sawa na mfano wa Nyuki wachache waliojiundia jumba lao hatimae wakatokea Kundi kubwa la Mchwa na kuamua kulivamia hilo Kundi dogo la Nyuki...... Je hilo Kundi dogo la Nyuki litakua salama pamoja na hayo makaazi yao!!!! Jibu ni jepesi tu hayo makaazi yatageuka na kua ni makaazi ya Mchwa na itafika kipindi hakutoibuka hata Nyuki mmoja kuongea chochote juu ya hao Mchwa wavamizi....
Maana yangu ni kwamba Zanzibar ni Nchi ndogo na yenye Watu Asili wachache mnoo.... Inapoelekea Zanzibar baada ya miaka kadhaa mbele huko itegemee kua ni WILAYA ndogo ya TANGANYIKA kutokana na uvamizi mkubwa mno wa Wageni uliopo ktk Viunga vyake pia na sehemu Muhimu za kimaamuzi Serikalini Mfano;-
-Mahkama, Vyombo vya Usalama (PT,JWTZ, VIKOSI VYA SMZ),, Sekta za Kielimu, Sekta za Uwekezaji, Sekta za Ajira n.k!!!! Kwa muktadha huo Zanzibar imebakiwa na Nguzo moja tu kuu...nayo ni KATIBA ndio ambayo inaifanya walau hadi leo imebaki na baadhi ya kijiutawala kidogo cha ndani kinachoifanya iweze kuheshimiwa na Mchwa waliopo madarakani..
Pasipokua na juhudi maalum na ya lazima kwa Wazanzibari na Serikali yao kuweza kusimamisha Wazanzibari Asili wenye Uzalendo wa Taifa lao basi wategemee kupoteza;-
-Utaifa wao
-Utamaduni wao
-Utu wao
-Heshima, Uhuru na Haki zao
-Asili zao na historia zao na kubaki dhalili kwenye Taifa lao la Asili ya mababu zao..
Mara nyingi wanasiasa na wenye uchu wa madaraka Zanzibar hupenda kutumia mbinu za Wakoloni za (DIVIDE & RULE) yaani Wagawe na Uwatawale.... Mbinu ambazo zimewagawa Wazanzibari na kumwaga damu za ndugu zao kwa makundi tena bila ya hatia na kubaki Zanzibar yenye mgawanyiko wa jamii zinazochukiana na utabaka!!! Wanasiasa hao ambao si Wazalendo (Wachumia tumbo) wamekua mstari wa mbele kuwaimbisha Wafuasi wao nyimbo za chuki na za kulihujumu Taifa la Zanzibar kwa njaa za madaraka tu,, Utasikia "ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA" kwani kuna Taifa gani la Kiarabu au Kizungu au Kichina linalodai Zanzibar ni Nchi yake!!! Wanawafanya kana kwamba Wazanzibari hawana Haki ktk Taifa lao.........
Ifike mda Wazanzibari muwe na uwelewa juu ya kauli kma hizo...... "UAFRIKA ni Utu wa Asili ya Bara la AFRICA" na WAAFRIKA wote wana Asili zao ktk Nchi mbali mbali zilizopo Barani AFRICA.... Bara la AFRICA lina Nchi nyingi na watu wa jamii tofauti tofauti katika mataifa hayo....... Kwahio huo wimbo wa kusema "ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA" ni kufilisika kisera na kudumisha unyonyaji na uvamizi ZANZIBAR.....
👊ZANZIBAR NI YA WAZANZIBARI,,,,,,,,, WAAFRIKA KILA MMOJA ANA TAIFA LAKE👊
-Naomba hii Post yangu iwe ni kumbukizi pindi siku ikifika Mchwa wakitangaza kua ZANZIBAR ni Wilaya yao Rasmi!!!!!