Hivi Zain Africa Challenge iliishia wapi?

Hapa naonatazio kubwa wanaobisha hawaujuii huu mchezo na hawajawahi hata kushiriki. Ni bora mtu useme sijui ili ueleweshwe ila sio kujifanya una jua wakati hujui.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilishiriki two times ya kwanza ilikuwa celtel challenge nikiwa first year tukaishia Dar.. Ya pili ilikuwa zain challenge tukatoboa mpaka Uganda...
It was amazing experience tulifikia millennium tower baada ya kupanda ndege na Kampala Serena Uganda
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah umenikumbusha mbali sana.. Nilikuwa kwenye celtel Africa challenge ya kwanza kabisa Nairobi... Duuh we really had fun....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo nabisha.. Nilikuwa mmoja wa washiriki wa kwanza kabisa kipind ndio imekuwa launched... Wala sio kweli ni live

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo sio kweli.. Mimi nilikuwa sua na nilishiriki pia... Mwaka huo huo 2007.... Weka taarifa yako ya vyuo vizuri....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oohooo safi.. Sisi intake ya 2007 tulikwea Kenya Airways tukafikia safari Park Hotel. It was quite an experience experience during that time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali mlikuwa mnapewa muda gani kabla ya kwenda kwenye shindano ?
 
Mbona kuna watu mnadai mlishiriki halafu taarifa mnazotoa wenzenu pia ambao nao wanadai walishiriki zinakinzana?
 
Bora ilivyoishilia mbali, maana intellectuals wa Tanzania aibu nilikuwa naona mimi. No doubt walidisplay qualities za jalalani, ni vile ukweli kuhusu jalala hatukuujua kabla.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…