Hivi Zain Africa Challenge iliishia wapi?

Hivi Zain Africa Challenge iliishia wapi?

Barakoa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2020
Posts
769
Reaction score
1,387
Hakika kilikuwa ni kipindi kinachovutia wengi; watoto, vijana na hata wazee. Umaridadi wa bwana John Sibi-Okumu katika kuuliza maswali ulikifanya kipindi na mvuto maradufu.

Wale jamaa walikuwa sharp sana, maana kuna muda kabla hata muulizaji hajamaliza kuuliza swali, tayari alikuwa anapewa jibu.

Je, nini kilifanya hiki kipindi kupotea licha ya mvuto wake?

Nini kilikuwa kinakuvutia kwenye hiki kipindi ?
 
Hawakuwa sharp kivile coz kipindi kilikuwa kinaeditiwa....nenda youtube angalia behind the scene utaona walivyokuwa wanachukua muda kujibu baadhi ya maswali hata yule muuliza maswali kuna muda alikuwa anakosea hadi kuuliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli maswali in live sema wnaunganisha unapomaliza first segment mnapumzika kuendelea na segment nyingine ... Mimeshiriki na tulikuwa chuo cha kwanza from Tanzania kufika quarter final

Hivi yale maswali mlikuwa mnapewa kabla mkatafute majibu yake au ilikuwa ni free style tu ?
 
Baada ya Zain kufa na kipindi kikafa. Labda Airtel waifufue hii idea upya. Tena kipindi hiki cha Corona watapata watazamaji wengi kichizi.
Kweli aisee.
 
Lakini kipindi kingeweza kuendelezwa licha ya Zain kubadilika. Kingeweza kupewa hata jina jingine ila content ikabaki.
Inategemea idea ya nani ,copyright iko kwa nani , zain mdhamini tu , nadhani kuna agency ndio ilikua na hy program
 
Hivi yale maswali mlikuwa mnapewa kabla mkatafute majibu yake au ilikuwa ni free style tu ?
Yes, maswali yalikuwa yanatolewa. Sema yalikuwa mengi sanaaa, kama miezi mi3 kabla ya challenge.
 
Yes, maswali yalikuwa yanatolewa. Sema yalikuwa mengi sanaaa, kama miezi mi3 kabla ya challenge.
Kumbe mlikuwa mnapata muda wa kuyatafutia majibu na kuyapigia desa.
 
Kumbe mlikuwa mnapata muda wa kuyatafutia majibu na kuyapigia desa.
Mfano mmepewa maswali elfu 3 utakumbuka yote? Kama unakumbuka kulikuwa na categories, kwahiyo walikuwa wanagawana kwa category hii itakuwa ya flani, hata anapouliza mnajua hili ni la huyu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom