Hivi yule 'Babu wa Loliondo' bado anatibia?

Na Ashe Hassan

Mtoto Subira Ally (12), Mkazi wa Kijiji cha Malema, Kata ya Maratani, wilayani Nanyumbu, mkoani Mtwara ......

Duh! kweli Tanzania ni kubwa, yaani hapo nimeambulia mkoa peke yake!. Pengine mi ndio kilaza wa jiografia
 
kICHWA CHA HABARI HAPO JUU CHAHUSIKA SANA
MWENYE HABARI YA NINI KINAJIRI KULE LOLIONDO ATUJUZE MAANA
MEDIA ZOTE NO BABUZ STORY CURRENTLY WHAT IS NOT HAPPENING...
 
Raia walikuwa hawasikii lolote juu ya tiba ya babu...sasa hivi walioenda mmoja mmoja anarudia dawa zake.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...Neno la Bwana lasema.
Jana 03/08/2011 nilikuwa nilikuwa nasoma makala moja kwenye gazeti la Raia Mwema inasema kuwa watu wengi waliokunywa dawa ya babu na kucheki HIV status baada ya siku 90 wamekutwa bado wanavyo,wengi wao wameilaumu serikali kwa kuwaaminisha kuwa inaponya.Hapo ndo nashindwa kuelewa hii nguvu ya dawa imepotelea wapi.
 
Vile vikombe vilivyokuwa vinaibuka kila uchao siku hizi havisikiki tena,Si kwa babu,Tabora,Mbeya wala wapi sijui au ndo tunapisha bunge kwanza ndo viendelee?Au huduma imesitishwa?Mlioko kwenye maeneo ya tukio/mwenye habari tujuzeni.
kwa mujbu wa gazeti la leo tarehe 04/08 linasema kwamba kutokana na utafiti uliofanywa na taasisi ya synovate umeonesha kwamba asilimia 78 ya watu waliopiga kikombe wamepona. mzee kikombe bado kipo ila wadau wamepungua kwa kuwa yale maradhi yao yale hakuna dalili yoyot e ya kutibika
 
Mkuu ina maana kuna taarifa zinazokinzana kuhusu ponya ya tiba hii?
 
Jana 03/08/2011 nilikuwa nilikuwa nasoma makala moja kwenye gazeti la Raia Mwema inasema kuwa watu wengi waliokunywa dawa ya babu na kucheki HIV status baada ya siku 90 wamekutwa bado wanavyo,wengi wao wameilaumu serikali kwa kuwaaminisha kuwa inaponya.Hapo ndo nashindwa kuelewa hii nguvu ya dawa imepotelea wapi.

Ukiona mtu anatetea huu USHENZI wa kutibu ukimwi ata akiwa mchungaji fulani basi kuna haya yafuatayo
  1. yeye au ndugu yake wanaumwa na hivyo wanajipa maope ya kipuuzi baadala ya kuendeleza ARV
  2. nafaidika na mpango huo mija kwa moja
  3. ni extremity wa dini inayo husika ata kama ni uwongo basi ataunga mkono
  4. ni mpotoshaji
  5. si mtu makini
Ukweli ukimwi haujapata tiba na hasa hiyo ya babu ni ushabiki tu. Ni UPATU uliopitishwa kihuni kwenye jina la Mungu.
 
kwa mujbu wa gazeti la leo tarehe 04/08 linasema kwamba kutokana na utafiti uliofanywa na taasisi ya synovate umeonesha kwamba asilimia 78 ya watu waliopiga kikombe wamepona. mzee kikombe bado kipo ila wadau wamepungua kwa kuwa yale maradhi yao yale hakuna dalili yoyot e ya kutibika

Huo utafiti ni wa Kisayansi au ni ile ya kwenda na kumwuliza mtu akasema amepona! Tafiti kama hizi zitatufanya tubweteke. Mimi ntakuwa mwisho kuamini upuuzi huu. Babu haponyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Wakuu, ebu gonga ARV. Achana na synovete
 
Ukiona mtu anatetea huu USHENZI wa kutibu ukimwi ata akiwa mchungaji fulani basi kuna haya yafuatayo
  1. yeye au ndugu yake anaumwa na hivyo anajipa maope ya kipuuzi baadala ya kuendeleza ARV
  2. nafaidika na mpango huo mija kwa moja
  3. ni extremity wa dini inayo husika ata kama ni uwongo basi ataunga mkono
  4. ni mpotoshaji
  5. si mtu makini
Ukweli ukimwi haujapata tiba na hasa hiyo ya babu ni ushabiki tu. Ni UPATU uliopitishwa kihuni kwenye jina la Mungu.
Ukiona mtu anapinga sana dawa za asili basi ujue anafaidika kwa namna moja ama nyingine na Uingizwaji wa ARVs, na hivyo anahofia watu wakizinduka na kurudia ASILI basi zitamuozea!..Short and clear!
 
Ukiona mtu anapinga sana dawa za asili basi ujue anafaidika kwa namna moja ama nyingine na Uingizwaji wa ARVs, na hivyo anahofia watu wakizinduka na kurudia ASILI basi zitamuozea!..Short and clear!

Du, mkuu, hapo umepotosha. Nadhani humjui babu jinsi anavyotibu. Anatibu kwa asili ipi? Anaunganisha Mungu wa Biblia ya Samonge akichanganya na mtandambo? Kati ya Hivi 2 kipi kinachukua asilimia kubwa? Kanisa la Asili ya wapi
 
Huo utafiti ni wa Kisayansi au ni ile ya kwenda na kumwuliza mtu akasema amepona! Tafiti kama hizi zitatufanya tubweteke. Mimi ntakuwa mwisho kuamini upuuzi huu. Babu haponyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Wakuu, ebu gonga ARV. Achana na synovete
Umesema kweli mkuu.
 
Kuna mtoto wa miaka kumi na mbili, anadai anamfahamu vizuri babu sababu wanakua nae baharini na makaburini, nae anatoa KIkombe.
source>WAPO RADIO YALIYOTOKEA 5/8/2011.
 
Ukiona tunaacha matibabu hospitalini na tunakimbilia kwenye miujiza basi ujue ndio tumeshakuwa so desperate na maisha
 
Kuna mtoto wa miaka kumi na mbili, anadai anamfahamu vizuri babu sababu wanakua nae baharini na makaburini, nae anatoa KIkombe.
source>WAPO RADIO YALIYOTOKEA 5/8/2011.
Ina maana anatumia nguvu za giza?Hii ni kali mkuu.
 
Mkuu unasema kweli,lakini mbona prof Maji Marefu amekiponda kikombe?Au wamemwingilia kwenye anga zake?
 
Kuna mtoto wa miaka kumi na mbili, anadai anamfahamu vizuri babu sababu wanakua nae baharini na makaburini, nae anatoa KIkombe.&lt;br /&gt;<br />
source&amp;gt;WAPO RADIO YALIYOTOKEA 5/8/2011.
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
HE KUMBE KUNA MAPEPO NDANI YA VIKOMBE HIVI KHAAAAA,NI SAWA NA MAKANISA YA KIROHO HUMO KUNA COCAIN! NA UCHAWI WA KUTISHA HAHAHAAA
 
Leo Mwanamuziki wa Msondo Ngoma ambaye nafikiri ni Muumini wa Kiislamu ameojiwa na TBC1 anaitwa Muhidin Mwalimu Ngurumo. Anasema kuwa baada ya kwenda kwa babu amepata nafuu na sasa anajisikia vizuri na anaweza kula. hivyo kuna baadhi ya magonjwa kikombe cha babu chatibu jamani.

Pia nipo Iringa Kikazi mwenyeji wangu kanipeleka Mnadani karibu na uwanja wa ndege wa Nduli nako kuna bibi anatoa kikombe yeye anasema kuwa hatibu HIV/AIDS bali anatibu na kuzuia ugonjwa wa miguu kwa wale wala mbuzi wa kuchoma. Hapo mnadani mbuzi ni kwa sana tu kila jumamosi. Lakini pia anapata sana kwani yeye anaruhusu watu kubeba na wateja ni wengi mno kila kikombe 500/=.
 
proffessionaly media ndio zinazo set mind zetu sisi consumers wa media content aslo its the media thats set the agenda for us to discus ,think and speak of ,mambo ya babu sio kwamba yame isha bali media ime shift form that story to other stories kama unakumbuka bunge ndilo ilikuwa ime anza so the media switched to the bunge stories ,kwenye kufind news in terms of media kuna ishu inaitwa timeliness lazima story yako iendane na muda au wakati .kila mtu alisha fahamishwa about babu .hence its done story mpya ilio ibuka ni ya bunge ,ndio maana hatu wezi ongelea osama alikufaje au zikwaje any more in media coz its not news worth any more.
 
Back
Top Bottom