rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,194
- 25,963
Kule wamejaa wajinga, mawakili wao waliwaaminisha wakienda cas watapewa pointi tatu na kufidiwa gharama madai ambayo yalikataliwa.
Walipewa maelekezo na cas Nini cha kufanya Ila kwa ujinga wao wamekaidi wakakimbilia serikali ambako wamepigwa chini.
Wanataka kuwatumia wabunge wao lakini wakakutana na ubaya ubwela.
Wamebaki kutapatapa na kusema hawachezi huku wakitolea macho viporo vya Simba Ila kiwango chao cha akili kitaoneka tarehe 15 June Kama kweli watashikilia msimamo wao.