Hivi Yanga madai yao ni nini?

Hivi Yanga madai yao ni nini?

Rage anastahili kujengewa sanamu kubwa pale msimbazi, hakika wanasimba wote ni mbumbumbu kabisa, hamnazo kabisa, hawa mashabiki wa simba hawajui chochote na wala hawana muda kuhoji uongozi wao wanachojua ni kupuliza mavuvuzela tu , hawa ni kama ngiri akikimbizwa na chui mbio ndefu za nusu saa baadae chui hujificha kwakuwa ngiri lazima atarudi tena hadi pale alipoanzia mbio kujaribu kuangalia nini hasa kilimkimbiza nae chui sasa humrukia kiulaini na kumla nyam nyam nyam!!

Kiufupi Yanga hatuchezi derby kwakuwa sababu halisi za Simba kukimbia mechi bado hazijawekwa wazi , sote uto na makolo tunajua mabaunsa wa Yanga hawamiliki uwanja wa taifa, kama Simba walizuiwa na mabaunsa kuingia lupaso wangetoa taarifa police nao wangekuja kuwatoa mabaunsa na hilo halikufanyika. Na sote tunajua makolo hawakutoa taarifa za kwenda uwanjani usiku wa manane kufanya mazoezi gizani kwa meneja wa uwanja, muda usio wa kazi kwa Sheria za serikali. Hawa ni wahuni full stop na Yanga uhuni hatuupi nafasi.

Hivyo tunachokataa Yanga ni uhuni uliokithiri wa simba na tff kulazimisha simba mdebwedo kuchukua kombe kwa nguvu zote , hata sasa mechi za Simba hazitazamiki tena kwa upumbavu wa baadhi ya marefa wanaoibeba Simba bila aibu na kushusha hadhi ya ligi kuu na kushusha thamani ya watz nje ya nchi kwakuwa mechi za ligi hutazamwa Duniani kupitia Azam TV.

Azam TV mjue marefa wa tff wanaoibeba Simba wanaua biashara yenu maana mechi za simba hazitazamiki tena ujinga umezidi kiwango.
 
Kiufupi Yanga hatuchezi derby kwakuwa sababu halisi za Simba kukimbia mechi bado hazijawekwa wazi , sote uto na makolo tunajua mabaunsa wa Yanga hawamiliki uwanja wa taifa, kama Simba walizuiwa na mabaunsa kuingia lupaso wangetoa taarifa police nao wangekuja kuwatoa mabaunsa na hilo halikufanyika.

Hivyo tunachokataa Yanga ni uhuni uliokithiri wa simba na tff kulazimisha simba mdebwedo kuchukua kombe kwa nguvu zote , hata sasa mechi za Simba hazitazamiki tena kwa upumbavu wa baadhi ya marefa wanaoibeba Simba bila aibu na kushusha hadhi ya ligi kuu na kushusha thamani ya watz nje ya nchi kwakuwa mechi za ligi hutazamwa Duniani kupitia Azam TV.
Simba walikimbia Mechi!!! Sidhani, ongea uhalisia???
 
Ni vigumu sana wewe kolo kuelewa walichofanya viongozi wako kuamua kukimbia mechi na sababu zake wenzako wanazo japo hawasemi kwakuwa wanajua mashabiki wao wote kama wewe ni mazombi, hawahoji kitu mnachojua ni kupuliza mavuvuzela tu. Ujue wanakucheka kina Mangungo!!

Kwahiyo unabisha kuwa simba hamkukimbia mechi? Kweli we mbumbumbu, Timu gani ilifika lupaso kati ya uto au makolo?
 
Walienda lupaso kufanya nini wakati mechi iliahirishwa
 
Mechi ilipaswa kuchezwa tarehe 8 Hakuna mechi nyingine ya derby! Kanuni gani ilitumuka kuahirisha mchezo tarehe 8? Sinba anapaswa kukatwa alama 3 na yanga apewe goli 3 na point 3
 
Rage anastahili kujengewa sanamu kubwa pale msimbazi, hakika wanasimba wote ni mbumbumbu kabisa, hamnazo kabisa, hawa mashabiki wa simba hawajui chochote na wala hawana muda kuhoji uongozi wao wanachojua ni kupuliza mavuvuzela tu , hawa ni kama ngiri akikimbizwa na chui mbio ndefu za nusu saa baadae chui hujificha kwakuwa ngiri lazima atarudi tena hadi pale alipoanzia mbio kujaribu kuangalia nini hasa kilimkimbiza nae chui sasa humrukia kiulaini na kumla nyam nyam nyam!!

Kiufupi Yanga hatuchezi derby kwakuwa sababu halisi za Simba kukimbia mechi bado hazijawekwa wazi , sote uto na makolo tunajua mabaunsa wa Yanga hawamiliki uwanja wa taifa, kama Simba walizuiwa na mabaunsa kuingia lupaso wangetoa taarifa police nao wangekuja kuwatoa mabaunsa na hilo halikufanyika. Na sote tunajua makolo hawakutoa taarifa za kwenda uwanjani usiku wa manane kufanya mazoezi gizani kwa meneja wa uwanja, muda usio wa kazi kwa Sheria za serikali. Hawa ni wahuni full stop na Yanga uhuni hatuupi nafasi.

Hivyo tunachokataa Yanga ni uhuni uliokithiri wa simba na tff kulazimisha simba mdebwedo kuchukua kombe kwa nguvu zote , hata sasa mechi za Simba hazitazamiki tena kwa upumbavu wa baadhi ya marefa wanaoibeba Simba bila aibu na kushusha hadhi ya ligi kuu na kushusha thamani ya watz nje ya nchi kwakuwa mechi za ligi hutazamwa Duniani kupitia Azam TV.

Azam TV mjue marefa wa tff wanaoibeba Simba wanaua biashara yenu maana mechi za simba hazitazamiki tena ujinga umezidi kiwango.
Uhuni unatoka wapi?!, kwani ni timu gani inaongoza ligi? au inayotetea kombe???
 
Nimefuatlilia sana kuhusu stance ya Yanga kugomea mechi. Naona huwa wanaishia na neno HATUCHEZI. Au tunaonewa. Au Dhulma!

Naomba msaada wa kujua hasa madai yao ni nini? Maana wanapingana mpaka na maelekezo ya CAS kama vile wapo Dunia yao;

Je, ni hulka tu ya uana harakati? Lakini wangeweka wazi msingi wa wanachopigania.

Je, ni kuahirishwa mechi trh 8 Mar? Hilo mbona wamejibiwa sana na sababu zipo wazi - vurugu za mabaunsa kuzuia mazoezi ya Simba. Pia ni mamlaka halali ya Bodi ya Ligi.

Je, ni kuukata uongozi wa TFF? Huu ndio utaratibu wa kuondoa uongozi madarakani??? Mbona mechi nyinginezo wanashiriki.

Naomba kujua hasa sababu za Yanga kufikia hadi kupingana na maamuzi ya CAS yaliyowataka kwenda TFF.
Mabaunsa ndio wenye funguo? Mmejicontradict wenye mwenye barua yenu, hamjampa meneja taarifa unategemea mngeingia vipi kufanya mazoezi, mkaamua kutafuta kichaka cha mabaunsa kuficha uzaifu wenu.Meneja wa uwanja sio mwajiliwa wa TFF ni serikali ndio imemuajili na jumamosi ni siku yake ya off. CAS hawaja fanya maamuzi yoyote,mistake ya Yanga kwenda CAS bila kuwa na nakala ya maamuzi kutoka kwenye vyombo vya ndani vya maamuzi ndio maana wame warudisha Yanga ili waonge na vyombo vya ndani wakipata nakala ya maamuzi kama hawaja ridhika ndio waende CAS na Yanga hana imani na TFF wala bodi ya ligi. Ushajiuliza why hata hiyo ripoti ya uchunguzi walio isema wataitoa mpaka sasa hawaja itoa unazani TFF hawajui, wanakimbilia kupanga tarehe ya mechi ripoti waliosema watatoa hawaja itoa.

Hamkuwa na sababu ya msingi kugoma April nane ila mliamua, mabaunsa hawana uwezo wa kuwazuia sababu hawana funguo mwenye funguo ambaye ni meneja hamkumpa taarifa,mlitegemea muingie vipi?Sawa ukiambiwa uprove wale mabaunsa ni wa Yanga,utatumia kitu gani tangible kinacho indicate wale ni mabaunsa wa Yanga?

Au okay ngoja to assume wale mabaunsa mnao watumia kama kichaka, wasinge kuwepo mazoezi mngefanya?
 
Sababu ipo wazi
 
Attachments

  • Facebook Video _y1141880924330857_1746548219392.mp4
    4.4 MB
Nimefuatlilia sana kuhusu stance ya Yanga kugomea mechi. Naona huwa wanaishia na neno HATUCHEZI. Au tunaonewa. Au Dhulma!

Naomba msaada wa kujua hasa madai yao ni nini? Maana wanapingana mpaka na maelekezo ya CAS kama vile wapo Dunia yao;

Je, ni hulka tu ya uana harakati? Lakini wangeweka wazi msingi wa wanachopigania.

Je, ni kuahirishwa mechi trh 8 Mar? Hilo mbona wamejibiwa sana na sababu zipo wazi - vurugu za mabaunsa kuzuia mazoezi ya Simba. Pia ni mamlaka halali ya Bodi ya Ligi.

Je, ni kuukata uongozi wa TFF? Huu ndio utaratibu wa kuondoa uongozi madarakani??? Mbona mechi nyinginezo wanashiriki.

Naomba kujua hasa sababu za Yanga kufikia hadi kupingana na maamuzi ya CAS yaliyowataka kwenda TFF.

Nimefuatlilia sana kuhusu stance ya Yanga kugomea mechi. Naona huwa wanaishia na neno HATUCHEZI. Au tunaonewa. Au Dhulma!

Naomba msaada wa kujua hasa madai yao ni nini? Maana wanapingana mpaka na maelekezo ya CAS kama vile wapo Dunia yao;

Je, ni hulka tu ya uana harakati? Lakini wangeweka wazi msingi wa wanachopigania.

Je, ni kuahirishwa mechi trh 8 Mar? Hilo mbona wamejibiwa sana na sababu zipo wazi - vurugu za mabaunsa kuzuia mazoezi ya Simba. Pia ni mamlaka halali ya Bodi ya Ligi.

Je, ni kuukata uongozi wa TFF? Huu ndio utaratibu wa kuondoa uongozi madarakani??? Mbona mechi nyinginezo wanashiriki.

Naomba kujua hasa sababu za Yanga kufikia hadi kupingana na maamuzi ya CAS yaliyowataka kwenda TFF.
Kama mpaka Sasa hujajua Young Africans wanachokipigania wewe ni Kilaza pro, shauri la Young ni technicalies za kimasheria tu ila msingi wa shauri ipo sawa
 
Back
Top Bottom