Kuifanyia vurugu timu pinzani isifanye mazoezi. Hilo lipo wazi
Yanga walifanya vurugu unakitu cha kuprove wale mabaunsa ni Yanga?
Ww unaenda kwenye uwanja unao milikiwa na serikali, haujampa taarifa msimamizi (meneja)mwenye funguo, unaingiaje uwanjani wakati hamkutoa taarifa kwa msimamizi?
Yule Msimamizi(meneja) ni mwajiliwa wa serikali hajui sheria zenu za TFF,jumamosi ni siku yake ya Off na nyie hamkumpa taarifa ulitegemea yy afanye nini?
Okay tufanye tukikubali hiko kichaka cha mabaunsa, je mabaunsa wanakuzuia vipi wakati hawana ufunguo?
Okay tu assume,siku ile mabaunsa ambao wanatumiwa kama kichaka cha ficha uzaifu wa kukimbia mechi April 8,wale mabaunsa wasingekuwepo, je mngefanyaje mazoezi wakati funguo bado anazo meneja? au mngeuzunguka uwanja kwa nje?
Ukitaka kujua walikimbia,kwenye barua yao walisema hawachezi mpaka walio husika wachukuliwe hatua,ila sasa hivi wanasema wapo tayari,okay vipi walio leta vurugu wamechukuliwa hatua?
Haya bodi ya ligi siku ile ya April nane baada ya kuhailisha mechi wakasema watafanya uchunguzi, ila cha ajabu mpaka sasa hamna ripoti ya uchunguzi na baada ya kutoa ripoti ya uchunguzi,wanametoa tarehe mpya ya mechi ya derby, sasa kwa nini hawataki kutoa hiyo ripoti?