Hivi Yanga madai yao ni nini?

Hivi Yanga madai yao ni nini?

Mbumbumbu ndio hua hawezi kuhoji vitu anapelekwa tu
Pale siasa iliingia ndugu ilibidi Rais aje sasa muda wa match rais alikuwa kwenye uzinduzi wa kitabu. Wakaona jambo raisi ni kusogeza muda kidogo. Jambo la akili ndogo tu mnataka kushupaza shingo.
 
Timu limejaa Wajinga tu lile
Ndio maana Hata Viongozi wao Wanatumia Ujinga wa mashabiki wao
hakika huwezi kujua kiwango cha ujinga alichokuwa nacho mtu kama nawe siyo mjinga.
ulishawahi kusoma kanuni za ligi kuu? unajua sababu za kuahirishwa kwa mechi na muda wa kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria?
acha kufuata mikumbo ya kina kazumari
 
Nimefuatlilia sana kuhusu stance ya Yanga kugomea mechi. Naona huwa wanaishia na neno HATUCHEZI. Au tunaonewa. Au Dhulma!

Naomba msaada wa kujua hasa madai yao ni nini? Maana wanapingana mpaka na maelekezo ya CAS kama vile wapo Dunia yao;

Je, ni hulka tu ya uana harakati? Lakini wangeweka wazi msingi wa wanachopigania.

Je, ni kuahirishwa mechi trh 8 Mar? Hilo mbona wamejibiwa sana na sababu zipo wazi - vurugu za mabaunsa kuzuia mazoezi ya Simba. Pia ni mamlaka halali ya Bodi ya Ligi.

Je, ni kuukata uongozi wa TFF? Huu ndio utaratibu wa kuondoa uongozi madarakani??? Mbona mechi nyinginezo wanashiriki.

Naomba kujua hasa sababu za Yanga kufikia hadi kupingana na maamuzi ya CAS yaliyowataka kwenda TFF.
Waulize kwanza Simba kwanini walikataa kucheza tarehe 8 march lakini wanataka kucheza tarehe 15 june, wanauhakika kwamba tarehe 14 hali itakuwa safi?
 
Unakimbia hoja uliyoianzisha. Hamna sehemu nimetaja cas ila wewe umetaja mabaunsa na vurugu je walipewa adhabu gani?
hawajapewa adhabu bado wanalalamika na wameenda cas je wangepewa adhabu?tff wanajua yanga akili hawana wameamua kufunika kombe mwana haram apite
 
Kwanza tuwatafute waliotuzuia kufanya mazoezi ndio wametufikisha huku.🤣
Aliye kuzuia kufanya mazoezi mbona anajulikana ni mwenye ufunguo,mnaenda kwa mwenye uwanja bil kumtaarifu mtafunguliwa vipi na tena jumamosi siku yake ya off na yy sio mwajiliwa wa TFF.
 
Je unauliza tu ili ku enjoy au wewe ni shabiki maandazi kama wenzio

Turudi kwenye maswali yako
Yanga si kama wanawaogopa simba!
1 Huwezikukosakujiaminimbeleyademuuliemkojoleazaidiyamakumi!
2 tarehe 8 hamkua tayari kucheza kwani wachezaji wenu muhimu walikua majeruhi,
Hivyo mkaona mtafute sababu yenye mashiko ili msicheze dabi
Na kilichompa simba nguvu ni UONGOZI!
3 yanga wamejua hilo na ndio maana hawataki kucheza hadi ZITOLEWE SABABU KUU MUHIMU ZA KWANINI WALIGHAILI MCHEZO WA AWALI.
Yaan hii kusema wachezaji walikuwa majeruhi ni hoja mfu na wapumbavu pekee ndio watakuja kukusuport.
 
Rage anastahili kujengewa sanamu kubwa pale msimbazi, hakika wanasimba wote ni mbumbumbu kabisa, hamnazo kabisa, hawa mashabiki wa simba hawajui chochote na wala hawana muda kuhoji uongozi wao wanachojua ni kupuliza mavuvuzela tu , hawa ni kama ngiri akikimbizwa na chui mbio ndefu za nusu saa baadae chui hujificha kwakuwa ngiri lazima atarudi tena hadi pale alipoanzia mbio kujaribu kuangalia nini hasa kilimkimbiza nae chui sasa humrukia kiulaini na kumla nyam nyam nyam!!

Kiufupi Yanga hatuchezi derby kwakuwa sababu halisi za Simba kukimbia mechi bado hazijawekwa wazi , sote uto na makolo tunajua mabaunsa wa Yanga hawamiliki uwanja wa taifa, kama Simba walizuiwa na mabaunsa kuingia lupaso wangetoa taarifa police nao wangekuja kuwatoa mabaunsa na hilo halikufanyika. Na sote tunajua makolo hawakutoa taarifa za kwenda uwanjani usiku wa manane kufanya mazoezi gizani kwa meneja wa uwanja, muda usio wa kazi kwa Sheria za serikali. Hawa ni wahuni full stop na Yanga uhuni hatuupi nafasi.

Hivyo tunachokataa Yanga ni uhuni uliokithiri wa simba na tff kulazimisha simba mdebwedo kuchukua kombe kwa nguvu zote , hata sasa mechi za Simba hazitazamiki tena kwa upumbavu wa baadhi ya marefa wanaoibeba Simba bila aibu na kushusha hadhi ya ligi kuu na kushusha thamani ya watz nje ya nchi kwakuwa mechi za ligi hutazamwa Duniani kupitia Azam TV.

Azam TV mjue marefa wa tff wanaoibeba Simba wanaua biashara yenu maana mechi za simba hazitazamiki tena ujinga umezidi kiwango.
Akili huna
 
Ni vigumu sana wewe kolo kuelewa walichofanya viongozi wako kuamua kukimbia mechi na sababu zake wenzako wanazo japo hawasemi kwakuwa wanajua mashabiki wao wote kama wewe ni mazombi, hawahoji kitu mnachojua ni kupuliza mavuvuzela tu. Ujue wanakucheka kina Mangungo!!


Kwahiyo unabisha kuwa simba hamkukimbia mechi? Kweli we mbumbumbu, Timu gani ilifika lupaso kati ya uto au makolo?
Weee akiki huna utakwenda vipi uwanjani na mpira umehailishwa?? Hivi hawa kina kamwe ndio wakuwashikia akili nyie??
 
Mbumbumbu katika ubora wao
 

Attachments

  • Facebook Video _y1141880924330857_1746548219392.mp4
    4.4 MB
Ingekuwa mnaongozwa na wasomi msingekimbia kipigo Mtani wangu.
Hapa ndipo yanga mishabiki yao inapokosaga akili, jamaa anakujibu kwa hoja wewe unahama tena😂🤣😅. Manara alikuwa sahihi
 
Aliye kuzuia kufanya mazoezi mbona anajulikana ni mwenye ufunguo,mnaenda kwa mwenye uwanja bil kumtaarifu mtafunguliwa vipi na tena jumamosi siku yake ya off na yy sio mwajiliwa wa TFF.
Akili zako na tumbili ni sawa
 
Back
Top Bottom