Hivi Wazee Wanaenda wapi hapa Dar es Salaam

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,277
Reaction score
2,436
Wasalaamu wakuu.
Kuna uwezekano mkubwa ya kuwa wanaume tunapotea mapema sana hasa kwenye hili jiji.

Yaani June nilienda kijijini nimekutana na wazee wa miaka hiyo bado wanakula nchi.

Lakini hapa Dar unaweza kaa mwaka usikutane na hata na mzee mmoja.

La pili, nimekumbuka ile hafla ya makonda na wajane pale Mlimani city, wamama around 40s ni wajane.

Wanaume tule maisha, life expectancy yetu ni ya mashaka.
 
Wakistaafu wanakimbilia huko kwenu vijijini ndio maana huku huwaoni
 
2.jpeg

Wazee mbona tupo kijana.......karibu gahawa......
 
Back
Top Bottom