Hivi watoto wanaanza lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi watoto wanaanza lini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Jun 1, 2010.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Jamani nauliza swali hili kwa kuwa nimekuta kwenye daftari la mtoto wangu wa kiume ameandika ''I LOVE YOU ... (ametaja jina la msichana), hilo daftari analitumia kufanya kazi zake si la kukusanya kwa mwalimu na hand writing ni ya mwanangu. Mimi sijamuuliza alikuwa na maana gani kuandika vile maana ni mdogo sana yuko Std Two na ana miaka Sita na Nusu

  Hivi watoto wadogo wanaanza lini kupendana?
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  aisee, yaani huyu ni "baba:...yukhhh
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Toka tumboni mwa Mama zao.
   
 4. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwani wewe ulianza na miaka mingapi?
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Punguza hasira N
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,369
  Likes Received: 22,232
  Trophy Points: 280
  Kuna kupenda na kuna kunjunji, haya ni mambo mawili tofauti.
  Kupenda, naturally tumezalwa na upendo.
  Mambo ya njunji ndio tunayaanza tukipevuka.
   
 7. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ebu wenye kujua watujuze! maana first born wangu anakua kwa kasi ya ajabu watoto kama hawa wataanza kumfundisha yale nisiyotaka ajue je ni katika umri gani unaweza kuongea na mwanao mambo haya?
   
 8. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  enzi za mwalimu tulikuwa tunachelewa sana hata sikumbuki ni lini?
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hoo my daughter! Mbona mnakuwa wakali wajameni?
   
 10. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  sio ukali Baba E, hebu mpe msaada wa swali lake bac.
   
 11. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mbona umekasirika shost, au wako bado mdogo sana? kweli kuna wakati natamani kujua when I can talk to my kids about sex lakini sina nguvu hapo
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,369
  Likes Received: 22,232
  Trophy Points: 280
  Like a father like a son
   
 13. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  kwani vp Nyamayao? ina maana sina mbegu?:angry:
   
 14. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  My 7 yrs niece thinks she is in love with her classmate H!!! because I am very close to her she tells me that she likes the boy and so on (hope she wont mind me telling the story here) last time she was with me at my house...we were in the kitchen, just the two us... She asked me"

  "Noname what will u do if you love a guy and he happens to love other girl?
  I was like.. Who? OMG H love other girl? how did u find out?
  she went''' because he spends most of time with her, I always see them together...
  I told her .... Mhhhh u know sweetheart we shouldnt love those who dont love us.... so may be u should forget about this guy!!!
  I was curious: do u really love this guy? is he cute?
  She said yes: he has brown eyes but he is shorter than me" but Noname I like him because he is different... he is not kind of boy who fights or who talks about WWE and Jonsina all the time...plus he is clever in the class...

  I was left speechless but me and her agreed that she will forget about this guy....

  Kids now days knows everything...

  my first secret crash was when I was 13 or 14 yrs but it remained a secret
   
 15. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  hapana dear, 6yrs, 4yrs....sasa akiwa 6 unashindwa kuongea/uliza ktu akifikia umri wenyewe ndio itakuwaje? na hili swali angemuuliza kwanza mtoto alimaanisha nini then ndio na sie tujue pa kuanzia, nimekosa cha kumsaidia kama mwenyewe hajisaidii.
   
 16. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  imebid nicheke tu, unazo za kutosha baba.
   
 17. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Watoto wa siku hizi wanaalibiwa sana na huu utandawazi.
  ila huyu wa std2!! Mh! bila shaka anamrithi baba yake.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jun 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Mimi nakumbuka nilikuwa nammega babysitter wangu na hii ilikuwa kabla sijaanza kindergarten....so you do the math....watoto bongo wanaanza chekechea wakiwa na umri gani. By darasa la kwanza tayari nilikuwa na kauzoefu.....
   
 19. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  lazima uelewe kuwa kuna vitu vingine mzazi ni ngumu kumuuliza mtoto ndio maana nimeanzia hapa. mbona umekuwa mkali sana kwangu leo kuna tatizo gani? vizuri ukanieleza kuliko kujibu namna hiyo hapa tunajadili tu na nina uhakika kuna wengine wana tatizo kama hilo
   
 20. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NN una mambo wewe but now nafikiri umetulia sana kwenye ndoa yako kama tayari na wala haya mambo ya kurukiana si sana umetulia na wako kipenzi ila mutoto wako akiridhi usilaumu...
   
Loading...