Hivi watoto wanaanza lini?

jnr yuko 4yrs na bahati mbaya nakuwepo mara nyingi tukiangalia sitcoms!

Kuna moment dem alikuwa analia huku akibembelezwa na mpenziwe niliulizwa swali kwanini analia yule? Mazingira wanayokulia wanetu ni tofauti na lazima tukubali; nadhani hain haja ya kuwadanganya ama kuogopa kuwakomaza! utajua lugha ya kutumia kutokana na umri! Like junior smiles when I KISS HIS MOM; HE KNOWS THAT IS AN ACT OF LOVE!
 
Hivi watoto wadogo wanaanza lini kupendana?

Sina hakika kuhusu kupenda, lakini nakumbuka wakati nikiwa na umri wa miaka 5-6, kuna msichana (Babake na Babangu walikuwa marafiki sana) nilikuwa namchukia sana (Mungu anisamehe!).

Nakumbuka kipindi hicho maji ya kunywa yanawekwa kwenye mtungi na kunakuwa na kikombe kimoja (wote mnashare kunywea maji), sasa kuna siku yule msichana alikuja home na ikatokea akakitumia hicho kikombe basi kuanzia siku hiyo 'nilisusa' kutumia kile kikombe! Na mbaya zaidi yule msichana sikuwahi kumpenda/tamani tena pamoja na kuwa tulisoma shule moja na kukulia eneo moja (though she was fairly pretty).
 
lazima uelewe kuwa kuna vitu vingine mzazi ni ngumu kumuuliza mtoto ndio maana nimeanzia hapa. mbona umekuwa mkali sana kwangu leo kuna tatizo gani? vizuri ukanieleza kuliko kujibu namna hiyo hapa tunajadili tu na nina uhakika kuna wengine wana tatizo kama hilo

mzazi mwenzangu umenielewa vicvyo, cjasema kwa ukali wowote....2endelee na hoja.
 
NN una mambo wewe but now nafikiri umetulia sana kwenye ndoa yako kama tayari na wala haya mambo ya kurukiana si sana umetulia na wako kipenzi ila mutoto wako akiridhi usilaumu...

Aaah wapi...mi bado mtundu sana ila utundu wangu ni chachu ya ubunifu.....
 
...hakuna umri maalumu wala ubaya kupenda akiwa kwenye umri huo. Ni mapenzi ya kitoto tu hayo., pia ni ishara mwanao anakua kiakili. Wewe mzazi anza kujiandaa nini cha kumkanya bila kumuathiri kisaikolojia kwa ajili ya maisha yake ya baadae.
 
Halafu kwa zama hizi ni vizuri kwa mfano ukiwa na mtoto wa kiume, anapoonesha kupenda wasichana. Angalau hiyo ni ishara njema kuwa hayuko m.senge. I would be devastated if my son (if I had one) likes boys or if he has feminine tendencies
 
Nice quote Mbu, like it
 
LOL, wewe bana ha ha ha,....nami nilikuwa nafikiria kuandika hayo hayo ila nikaona mnh, kwa desturi zetu za kiafrika hususan mila za kuitanzania niache tu isije historia ikanihukumu.

Ni kweli kabisa usemayo, i'll be so devastated kuona mwanangu wa kiume anaandikiana message za "I LOVE YOU" na karafiki kake ka kiume.

Inatisha kwakweli, Mw'Mungu apitishilie mbali, pheeeeeeewww... Thx kwa hizi Facebook, Bebo etc, najaribu ku monitor mwenendo wao.
 
wazungu+akili+hawana++saa+zingine.bmp
 
Inategemea na mazingira watoto wanaolala na wazazi wao hadi kufikia mika 5+ na ukute baba ni mtu wa mitingasi/pombe akija yeye nakukuruka bila kujali watoto wamelala fofofo au la! inachangia sana kwani hao watoto hupractice baadae au kuanza ku develop hisia flani. Maendeleo ya science na technolojia kuna mitamthilia ya ajabu ajabu tunaangalia na watoto wadogo na akili zao zinashika very fast kwa vile wengi tunawapeleka st. st. na sio asante halmashauri kwa hio wanasikia kila neno kwenye luninga tena vingine vinajifunza na mistari ya kutema cheche kwa wenzao.

Kuna mtoto wa rafiki yangu anasoma st marys alichelewa kurudi nyumbani siku ya jumapili baba yake akamuuliza where ar u from? akajibu from my girl friends' house....akamuuliza kwa tahamaki what do u guys actually do together ...akajibu nothing serious just playing in her bed.
 
Duh..Nguli hapa umeniacha mdomo wazi!
 
nadhani siku hizi watoto wanaanza mapema sana sababu wankuwa exposed kwenye haya mambo kuna jamaa yangu uwa anachelewa kurudi kazini akifika kitoto chake kinaanza kumsimulia tamthmilia ilipoishia yaani kinajua yote na kwenye ku cheat kanaeleza yaani kazi tunayo
 
ni kweli watoto wanajifunza mengi kupitia TV, nilikua najarbu kumlazimisha binti alale mapema ili asione hizi tamthilia kumbe shuleni wenzie wanamsimulia imeishia wapi nikaamua kumwacha aangalie tu maana itakua rahisi kwangu kumweleza lipi baya na lipi zuri. lakini kuongea na mwanao mdogo kuhusu mambo haya ni ngumu sana sometimes ni mdogo sana kujua bt usipomfundisha ww anajifunza mengi from school mates.
 
Mimi nakumbuka nilikuwa nammega babysitter wangu na hii ilikuwa kabla sijaanza kindergarten....so you do the math....watoto bongo wanaanza chekechea wakiwa na umri gani. By darasa la kwanza tayari nilikuwa na kauzoefu.....
Olalalalalalaa
Tratibu mkuu
Ina maana kalikuwa kanaenda wima mpaka makalatee yanapigwa
 
Nguli Umelonga hali halisi mkuu! I just dread the day nitakapoisikia same story from jr! Lol!

Sasa jamani tusaidiane basi reaction zetu wazazi iweje?
 
Mimi nakumbuka nilikuwa nammega babysitter wangu na hii ilikuwa kabla sijaanza kindergarten....so you do the math....watoto bongo wanaanza chekechea wakiwa na umri gani. By darasa la kwanza tayari nilikuwa na kauzoefu.....
Kaaaaaazi kwelikweli umenikumbusha rafiki yangu fulani alikuwa ananikaribisha tunapiga mande baby sister wake....that is loooooooong time ago ila mshkaji wangu akikumbuka huwa anakasirika sana teh teh teh
 
Hakuna umri maalumu wa kuanza kujua haya masuala kwa watoto. Ni mara tu akili yake inapopevuka. Wanasayansi wanasema akili ya mtoto ni kalin sana kushika vitu. Vinaweza vikawa vyema au vibaya pia. Unaweza kupima tu kwa kunagalia jinsi anavyozingatia yale unayomwambia hata ukimdangaya (kwa mfano ukimweleza neno kuwa ni "matusi" nae akashika hivyo hivyo mpaka pale atakapojua si "matusi"tena kupitia mtu mwingine.

Chanzo cha kujua jema na baya kwa watoto pengine ni mazingira anayokulia na kulelewa. Yaweza kuwa alisikia na anajifunza kutoka kwenu wazazi wake, wakubwa zake kiumri katika familia ikiwemo wale wanaomlea kila siku, watoto wenzake anaocheza nao hapo nyumbani, mtaani au huko shuleni, vipindi vya kwenye TV nk.

Nakumbuka siku moja nilikuwa nyumbani kwa Mzee wangu Mdogo, tukiwa sebuleni na mwanae wa kike (sasa amekuwa) wakati huo alikuwa na miaka 4. Katika ITV, kuna muziki ukapigwa wa Kimagharibi jamaa alionekana akimkumbatia na kumbusu mwanamke, kabinti kale kadogo wakati huo kakaangalia pembeni na kuzuia macho yake kwa viganja vya mikono kakasema hakawezi tena kuangalia TV kwa kuwa watu wanabusiana na kukubatiana..kwa kweli hata mzee mwenyewe alizima TV , akaguna tu na kushindwa kuuliza mtoto kajuaje haya kuwa ni mabaya!.

Watoto inabidi kuwafuatilia kila hatua ya makuzi yao na pengine kujaribu kupeleleza wanapokuwa wakicheza na wenzao kujua hata lugha wanazotumia...unaweza kudhani mwanao hajui kitu kumbe ndio gwiji la kufundisha wenzake mambo yasiyofaaa huko mtaani na kama una lala nae chumba kimoja akawa anaanika kila kitu unachokifanya na mzazi mwenzio kwa wenzake.
 
Mimi nakumbuka nilikuwa nammega babysitter wangu na hii ilikuwa kabla sijaanza kindergarten....so you do the math....watoto bongo wanaanza chekechea wakiwa na umri gani. By darasa la kwanza tayari nilikuwa na kauzoefu.....
Mercy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom