Hivi wataalamu wa saikolojia hii ni nini mwanaume anatamani kutukanwa kuwa yeye ni shoga?

Hivi wataalamu wa saikolojia hii ni nini mwanaume anatamani kutukanwa kuwa yeye ni shoga?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,289
Reaction score
5,741
Nimekuwa nikijiuliza sana hili suala la mtu kutamani kuoga matusi katika akaunti zake za mitandao ya kijamii huwa linatokana na nini?

Kuna hawa vijana wawili wa timu moja kubwa hapa nchini,mmoja ana mwanya na mwingine alionekana kulia kwenye arusi ya rafiki yake.

Huyu mwenye mwanya hawezi kuisemea vizuri timu yake bila kuidhalilisha timu pinzani.

Na kila akiandika habari za timu yake lazima amtaje mpinzani kwa ubaya.Anapofanya hivi anajua wazi atatukanwa kuwa ye ni shoga,ila anaonekana kupenda sana hali hiyo.

Huyu mwingine alionesha kulia huku akijua wazi kitendo kile kitafanya watu wamjadili kama mtu aliyeumia kunyang'anywa mume.

Nauliza hivi hali hii kwa nini hawa watu wanaipenda?Mwanaume kutamani kuitwa mtu wa upinde?

Au ni matangazo yao ya biashara yanayofanywa kwa ubunifu?
 
Yaan yule mwenye mwanya zaman alikuwa shabiki wa upinzan ss kaenda huko sababu ya njaa ss ndo anataka kuaminisha watu kwamba yy hakuwa huko sasa anachofanya anaiponda yupo tyr mumuite shoga ila apate kula GSM asije akampiga chini akijua yy n upinzan
 
Back
Top Bottom