Hivi wataalam wa kilimo toka SUA wana impact gani! Mbona hawasikiki?

Swali zuri sanaaa!

Utakuta watu wengi waliotoka SUA ndio wanafanya kazi NSSF, PPF, Banks n.k

Sijui Shambani penye mazao na mifugo waende akina nani?

Ila nahisi ni serikali haijatengeneza mazingira wezeshi.
 
Tupe heshima yetu mkuu ilaum serikali yako CIO cc cc tunatumika sana mashamban na tunajituma sn kwa wakulima njoo sua uclalamike tuu bure!!!
Mfano kwa sasa mna mikakati gani ya kuwasaidia wakulima masikini wa kitanzania?

Mmeshawafanyia kipi cha msaada?

Kwasababu hata tukienda TFA na kwenye maduka ya pembejeo tunakuta vifaa vya kilimo, Mbegu bora na hata madawa yanatoka aidha Kenya, India, South Africa au ulaya.

NINYI MMEFANYA YAPI YA MSAADA?
 
Yani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
SUA HAWANA UMUHIMU KATIKA JAMII, INGAWA NI WASOMI WAKUBWA.
 
Hawa Jamaa siwezi kuwabeza hata kidogo maana nilipotembelea Moro niliona mambo yao.
Katika eneo la kuweka msisitizo na kipaumbele ndio huko maana vijana wengi tunatakiwa kujiajiri sio kutegemea TGs
 
Ukitaka mtu aliesomea kilimo mwenye impact tafuta mtu aliesomea vyuo vya kati hasa mwenye diploma alieanzia certificate
Hahahahaaa, wa degree je? Ina maana hawana utaalamu au hawajaelimika vyema? Funguka mkuu. Wengi tunaenda sekta tofauti na tulizosomea SUA, mfano ualimu, bank taller nk ili mradi tunajenga taifa letu. Ingawa kozi zake ni ngumu ukichanganya na ubabe wa baadhi ya wahadhiri tunafanikiwa kumaliza.
 
Nafikir phd nyingi hii nchi ni za kilimo kuliko kada nyingine yoyote.....ila nani akiwa baba atataka ashauriwe kuendesha familia yake ?
 
Yani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
Kwanza kabisa nikupongeze mleta Maada, umefikiria nje ya box. Pili ni kweli hiki chuo kifanyiwe scrutiny kama bado kina tija/impact kwa nchi (kama ilivyokusudiwa). Graduates wake wengi hawafanyi kazi za kilimo, wengi wamejipenyeza kwenye taasisi zingine na kufanya kazi zisizowahusu, huku wakulima na kilimo kikikosa utaalamu wao.
 
umeongea kitu cha maana sana,kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa nchi yetu,ila kimetelekezwa vibaya watu wako bize na bashite
 
Yani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
wewe umewaona wataalamu wa kilimo ambao hawana impact, kada zingine vipi? tatizo mfumo wetu wa elimu ni kusoma ili mtu apate kazi, kama taaluma haimpi soko la kuajiriwa au inampa kipato kidogo lazima mtu abadili gia angani. kwa ufupi watu hawana spirit na taaluma zao ndo maana hata ufanisi wakazi unakuwa mdogo wanafikiri maslahi kuliko kitu kingine.
 
Hahahahaaa, wa degree je? Ina maana hawana utaalamu au hawajaelimika vyema? Funguka mkuu. Wengi tunaenda sekta tofauti na tulizosomea SUA, mfano ualimu, bank taller nk ili mradi tunajenga taifa letu. Ingawa kozi zake ni ngumu ukichanganya na ubabe wa baadhi ya wahadhiri tunafanikiwa kumaliza.
Mkuu pitia kwenye hivi vyuo vya kati yaani kusoma ni kidogo sana mda mwingi ni practical tena mashambani tofauti na sua na vyuo vingine vikuu ambavyo wanafunzi wanalima kwenye projector
 
Mfano kwa sasa mna mikakati gani ya kuwasaidia wakulima masikini wa kitanzania?

Mmeshawafanyia kipi cha msaada?

Kwasababu hata tukienda TFA na kwenye maduka ya pembejeo tunakuta vifaa vya kilimo, Mbegu bora na hata madawa yanatoka aidha Kenya, India, South Africa au ulaya.

NINYI MMEFANYA YAPI YA MSAADA?
Ndomana nmesema ilaum serikali yako co CE TAZALISHA MBEGU AU TATENGEZA VIFAA KWA BAJETI IPI???? au m ntoe pesa mfukon nnazo?? WAKULIMA WANANUFAIKA UJE NAWE UTUFAID YUKO ACTIVE SANA YAN...sema hatna mazngira wezeshi..
 
Kwanza kabisa nikupongeze mleta Maada, umefikiria nje ya box. Pili ni kweli hiki chuo kifanyiwe scrutiny kama bado kina tija/impact kwa nchi (kama ilivyokusudiwa). Graduates wake wengi hawafanyi kazi za kilimo, wengi wamejipenyeza kwenye taasisi zingine na kufanya kazi zisizowahusu, huku wakulima na kilimo kikikosa utaalamu wao.
Sema na serikali mkuu watu wanamaliza serikali at a haiwatambui waishije????
 
Yani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
Kabla hujawalaumu SUA jiulize kwanza sekta ya kilimo ilipewa shilingi ngapi kwenye bajeti ya mwaka jana!?
 
Toka kianzishwe hao graduates huwa wanapotelea wapi? Maana mashamba na kilimo bado kimedumaa tu.
Naona kama wamezubaa, Nchi haiwezi kuwa na CHUO KIKUU cha kilimo miaka mingi lakni bado wananchi wanalia kwa kukosa ushauri wa kitaalamu.
Tatizo ni kuwa serikali haiwrkezi kwenye kilimo na haijali kilimo teknolojia nyingi sana zipo developed na SUA ila implenentation haiwezekani kutokana na uhaba wa pesa.
 
Ivi sekta ya kilimo iliowa shi ngapi kwenye bajeti iliyopita?? Sio tunailaumu SUA bila sababu!!
 
Back
Top Bottom