Hivi wasandawe na wahadzabe wametengewa sehemu yao maalumu?

Nikusahihishe hapo kwenye hospital huwa wanaenda ,shule nliyosoma singida ipo karibu na makazi ya wahadzabe na nlishawahi kuongozana na mmoja wa akina mama na mtoto wake wakienda kwenye health center ambapo na mim nlikua nnaelekea huko huko.
Harufu zao ni balaa ilibidi milango iachwe wazi.
Kuna mwingine tulipanda naye gari kutoka singida to dodoma tukampa biscuits nayeye akanunua soda akanywa akatupa tunywe aiseh tulitamani kukimbia!
Harufu yake tu ilikua inatutesa sembuse soda aliyoweka mate , tuliikataa kistaarabu.
Uongo
 
Hapo kwenye kusonya Sonya na do do do nyingi hata wazulu wanaongea hi VP. Pengine wasandawe ni wasauzi
Wazulu ni jamii ya wabantu ambao walikuja sauzi miaka mingi iliyopita. Hiyo sonya na do do do ni kati ya matamshi fulan yanayoongelewa katika lugha ya khoisan ambao ndio wenyeji halisi na asili wa afrika kusini na pia kwa hapa kwetu hiyo sonya na do do do ni kati ya matamshi fulan ya lugha ya wasandawe ambao inasemekana ni moja kati ya makabila mawili au matatu yenye asili hasa ya tanganyika ambayo leo ni Tanzania. Hao wazulu unaosema waliiba baadhi ya lafudhi na matamshi kutoka kwa wenyeji wao ambao ni hao khoisan au Bush man.
 
Hadzabe Mongo wa Mono Yaeda Chini wilaya Imboru..mtana bawa bawa...hutegemea matunda pori mizizi asali makinda ya kwelea kwelea asali ubuyu na mbegu zake kobe nyani tumbili ...bangi kiburudisho kama bia tamu....
Hivyo maeneo yao ni muhimu kuhifadhiwa kwa sababu ya utegemezi wa mahitaji yao ya chakula...
 
Back
Top Bottom