Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,088
- 72,505
Wanawake hawawezi kabisa kuishi na mtoto ambao hawajamzaa,hata hapa watajidai kuwa hawapo hivyo na watamlaumu huyo mkeo kuwa na roho mbaya lakini ukweli ni kwamba ndivyo wote walivyo
Ukikutana na alie tofauti jua huo ni muujiza!
Pia na wanaume wapo, tupo ambao tunaweza lea kabisaa mtoto wa mume au watoto, ila mama zao hua na maneno mno